Nicodemas Maganga, Mbunge wa Mbogwe ataka Kisukuma kiwe Lugha ya Biashara Tanzania

Duuuuuuh Kama hawa ndio wasomi wetu Basi tume kwama pakubwa Kama taifa, maskini nchi yangu Tanzania 🚶🚶🚶🚶
 
Safari hii tuna bunge limejaa uharo mtupu! Mwendazake hakututendea haki kwa kweli!
 
Haya ndo matokeo ya kuwa na ma-muth@f**k*rs kwenye bunge

Mbunge wa jimbo la Mbogwe Nicodemas Maganga, amesema Tanzania inabidi ichague lugha kutoka kwenye kabila moja hapa nchini ikiwemo Kisukuma kwa ajili ya kuiweka kwenye system itakayopelekea Wachina ama Wazungu watakapokuja nchini waisomee na itumike katika biashara.

mbogwe%202.jpg

Kauli hiyo ameitoa hii leo Mei 11, 2022, bungeni jijini Dodoma na kuongeza kuwa waangalie mifano kutoka mataifa mengine yanayotumia lugha zao hadi kwenye vyombo vya habari.
"Mimi ni Msukuma lugha yangu mkiipa nafasi mkaweka kwenye system, Kisukuma kikiingia kwenye computer Wachina watakuja kujifunza hapa, hata Wazungu wakija kwenye migodi yetu wakakuta Askari wanazungumza Kisukuma tu hiyo hali itawafanya wakisomee, lazima tukae tufikirie tunawachenga vipi kwenye huu ulimwengu wa kutafuta pesa," amesema Mbunge Maganga
huyu si ndo yule aliyedai mshahara wa wabunge hautoshi?sasa mnategemea achangie nn?wananchi tuwe makini kuchagua wabunge wetu.
 
Sukuma watabakia tu kuwa washamba na ujinga juu...hapa ndio level yake ya kufikiri ilipofikia..
 
Boga kabisa, akili kama njengere, hawa ndio watu wa kuwategemea kuleta mabadiliko posive hii nchi ??
 
Mbunge wa jimbo la Mbogwe Nicodemas Maganga, amesema Tanzania inabidi ichague lugha kutoka kwenye kabila moja hapa nchini ikiwemo Kisukuma kwa ajili ya kuiweka kwenye system itakayopelekea Wachina ama Wazungu watakapokuja nchini waisomee na itumike katika biashara.

mbogwe%202.jpg

Kauli hiyo ameitoa hii leo Mei 11, 2022, bungeni jijini Dodoma na kuongeza kuwa waangalie mifano kutoka mataifa mengine yanayotumia lugha zao hadi kwenye vyombo vya habari.

"Mimi ni Msukuma lugha yangu mkiipa nafasi mkaweka kwenye system, Kisukuma kikiingia kwenye computer Wachina watakuja kujifunza hapa, hata Wazungu wakija kwenye migodi yetu wakakuta Askari wanazungumza Kisukuma tu hiyo hali itawafanya wakisomee, lazima tukae tufikirie tunawachenga vipi kwenye huu ulimwengu wa kutafuta pesa," amesema Mbunge Maganga

Sukuma gang wamechanganyikiwa. Wasukuma wote ni 16% wanaozungumza ni chini ya hapo!. Pelekeni ukabila wenu huko huko kwenu
 
Mbunge wa jimbo la Mbogwe Nicodemas Maganga, amesema Tanzania inabidi ichague lugha kutoka kwenye kabila moja hapa nchini ikiwemo Kisukuma kwa ajili ya kuiweka kwenye system itakayopelekea Wachina ama Wazungu watakapokuja nchini waisomee na itumike katika biashara.

mbogwe%202.jpg

Kauli hiyo ameitoa hii leo Mei 11, 2022, bungeni jijini Dodoma na kuongeza kuwa waangalie mifano kutoka mataifa mengine yanayotumia lugha zao hadi kwenye vyombo vya habari.

"Mimi ni Msukuma lugha yangu mkiipa nafasi mkaweka kwenye system, Kisukuma kikiingia kwenye computer Wachina watakuja kujifunza hapa, hata Wazungu wakija kwenye migodi yetu wakakuta Askari wanazungumza Kisukuma tu hiyo hali itawafanya wakisomee, lazima tukae tufikirie tunawachenga vipi kwenye huu ulimwengu wa kutafuta pesa," amesema Mbunge Maganga
Huyu nae wananchi wanategemea atafanya wonders? Nafikir wananchi wameshajua wanafeli wapi
 
Back
Top Bottom