Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Anaandika Twaha Mwaipaya kupitia ukurasa wake wa Instagram
"Nicodemus Julius loyore Amekamtwa jana ofisini kwake walienda watu waliovaa kiraia wakajitamburisha kuwa ni Polisi wakamchukua na kuondoka nae Ofisi yao ipo mataa ya kamata jengo jeupe upande wa kulia kama ukiwa unaelekea mnazi mmoja, Ofisi za ALISTAIR.
Wanasheria toeni msaada haraka ili kijana huyu awe salama. "
Tizama pia Video ikionesha namna Nicodemus alivyokamatwa na watu waliojitambulisha kuwa ni Polisi