Nicodemus amekamatwa na watu waliojitambulisha kuwa ni askari wakiwa na nguo za kiraia

Nicodemus amekamatwa na watu waliojitambulisha kuwa ni askari wakiwa na nguo za kiraia

Loyore mwamba sana.
He went underground after Oct 29. I don't why, recently he started to show up on social media posts.
He was one of the few true heroes of MO29.
Huyu ni Kati ya wale wachache waliotoka barabarani na kujirekodi video na kuwaambia watu watoke barabarani. Alipaswa ajifiche au akimbie nchi na siyo kwenda mjini
maeneo ya Kamata.
Kwanini akimbie nchi ? Anatakiwa aende kaburini akawafate nyumbu wenzake waliopigwa risasi wakiwa wanaufanya unyumbu aliohamasisha
 
Kwanini akimbie nchi ? Anatakiwa aende kaburini akawafate nyumbu wenzake waliopigwa risasi wakiwa wanaufanya unyumbu aliohamasisha
Alikuwepo na akatoka salama.
Na awamu hii atatoka salama kwa mapenzi ya Mungu.
Kwa maana kuna waliouwawa hawakutoka, hawakuwa na habari na maandamano. Bado waliuliwa kikatili na sasa unawatukana wote kwa kuwaita nyumbu.
 
Kwahyo yale maagizo aliyotoa yangachawene yalikua ni maigizo kwamba ni marufuku kukamata watu ukiwa na nguo za kiraia
Mkuu, unaamini kwa ilipofikia nchi yetu, kauli ya Chawene inaweza kubadili chochote?

Tanzania ili irudi ilipokuwa mabadiliko makubwa ya kiuongozi yanahitajika, kuanzia pale juu kabisa.
​
 
Twaha Mwaipaya kawa mwanasiasa wa hovyo mno baada ya kuungana na Maria Tsehai.
Wenzio wanazungumzia uwezo wa paka kukamata panya. Hawazungumzii paka
Ulivyokuwa mjinga badala ya kujadili jambo lilopo wewe unamjadili aliyelileta? Huwezi kuwa mtu mwenye akili timamu. Ukaacha kujadili masuala na badala yake unamjadili watu?
Wewe unashinda kichwani
 
Anaandika Twaha Mwaipaya kupitia ukurasa wake wa Instagram

"Nicodemus Julius loyore Amekamtwa jana ofisini kwake walienda watu waliovaa kiraia wakajitamburisha kuwa ni Polisi wakamchukua na kuondoka nae Ofisi yao ipo mataa ya kamata jengo jeupe upande wa kulia kama ukiwa unaelekea mnazi mmoja, Ofisi za ALISTAIR.

Wanasheria toeni msaada haraka ili kijana huyu awe salama. "View attachment 3518179
Twaha Mwaipaya Nairobi kumekupenda sana kamanda,
inonekana ulikua na stress sana ulipokua ukiishi TZ, kabla hicho kibibi hakijachufanya mamluki na kukuhifadhI hapo nairobi na hao wenzako mnaochakata porojo za kindezi ndezi:pulpTRAVOLTA:
 
Alikuwepo na akatoka salama.
Na awamu hii atatoka salama kwa mapenzi ya Mungu.
Kwa maana kuna waliouwawa hawakutoka, hawakuwa na habari na maandamano. Bado waliuliwa kikatili na sasa unawatukana wote kwa kuwaita nyumbu.
Hakuna nyumbu atakaejaribu kutoa pua yake nje kuleta upuuzi kama mliouleta, nyumbu ile dawa mliyopewa ni kubwa kuliko ugonjwa wenu, japokua nyumbu huwa mnaugonjwa wa kusahau lakini dozi mliyopewa hakuna nyumbu atakaesahau tena
 
Anaandika Twaha Mwaipaya kupitia ukurasa wake wa Instagram

"Nicodemus Julius loyore Amekamtwa jana ofisini kwake walienda watu waliovaa kiraia wakajitamburisha kuwa ni Polisi wakamchukua na kuondoka nae Ofisi yao ipo mataa ya kamata jengo jeupe upande wa kulia kama ukiwa unaelekea mnazi mmoja, Ofisi za ALISTAIR.

Wanasheria toeni msaada haraka ili kijana huyu awe salama. "View attachment 3518179
Kwanini watu bado wanaendelea kukubali kukamatwa kihuni?
 
Nyumbu si mlisema huyu nyumbu mwenzenu alikufa kwa kupigwa risasi 12 ? kwahiyo kafufuka tena? Au mpo kwenye harakati zenu za uzushi wa kinyumbu, na kwakua nyumbu asili yake ni kusahau sahivi mmeshasahau kama mlituambia alikufa kwa kupigwa risasi 12.

Kweli nyumbu ni chakula cha mamba
Wewe Nguruwe kumbukumbu zako zinategemea nini? Inaonyesha ulikuwa umeweka 'tiki' kwenye jina la waliouliwa; sasa umejikuta kumbe alikuwa yu hai!
 
Huyu mwamba anapaswa kuokolewa haraka sana kutoka kwenye mikono ya hawa wadhalimu, maana kwa ujasiri na ushawishi aliokuwa nao kwenye MO29 Mafwele na genge lake watakuwa wana hasira naye sana.
Yamemkuta mzee mwenzangu,unajirekodi vile kwenye vurugu zile, ujinga mzigo
 
Mkuu, unaamini kwa ilipofikia nchi yetu, kauli ya Chawene inaweza kubadili chochote?

Tanzania ili irudi ilipokuwa mabadiliko makubwa ya kiuongozi yanahitajika, kuanzia pale juu kabisa.
​
Huko mahabusu kumejaaa wahaini
 
Mwendo ni uleule mafwele na genge la bi chura wanataka damu tu

Nchi hii bila ukombozi au mapinduzi tutaendelea kufa ka nzi

BLACKTIGER
Nipo JAMAICA kwa sasa.
Inabidi tupate bunduki mwanangu tujiunge tutangaze uasi tu aisee ,Hii nchi ilipo ni point of no return .......Bila kumiliki vyombo vya moto na kuingia kupambana na hawa maharamia na mfumo haramu wa ccm ,hamna kitakachobadilika nchi hii nakwambia ,heshima kwa wananchi hamna kabisa sasa hivi
 
Hatakiwi awe hai hadi muda huu
kama ujuavyo mwenyewe, sababu ya kfuga nguruwe ni moja tu; kuwa kitoweo. Lakini inavyodhihirika sasa ni kwamba wewe hata hiyo kuwa kitoweo haifai; kwa vile ni mzoga tu uliotokana na ugonjwa unaowadhuru nguruwe kwa wingi.
Kwa hiyo wewe hadhi yako kwa sasa ni "mzoga wa nguruwe".
 
Back
Top Bottom