Nicolae Ceauşescu: Swahiba wa Julius Nyerere, Rais wa Romania na mjamaa kindakindaki aliyeuawa kifo cha kumiminiwa risasi na wanajeshi (Firing Squad)

Ndio maana wanajijengea hadi International airport majumbani kwao.
Au wanaweza kujenga branch kubwa ya Bank inayoweza kuhudumia wateja 1000 kwa siku wakati hapo wapo 30

[emoji28]kweli kabisa mkuu yani ukiwa dictator lazima uwe na vitabia vya ajabu,kuna dictator fulani alipeleka railway kijijini kwao
 
well said Sir
 
Utumiaji wako wa neno "cult of personality" umenifanya niamini wewe ni mtu unaependa history na unafahamu mengi pia kuhusu modern European history[emoji16]
 
Kuna baadhi ya binadamu sio watu wazuri pale wanapotaka kuiba rasilimali za nchi yako.

Lazima tu wakuundie kamati ya roho mbaya na kukuita majina ya kishetani. Mabeberu sio watu wazuri hata kidogo mkuu.
Huo ndiyo ulikuwa mwanzo wa mageuzi Ulaya Magharibi , na kuanza kwa siasa za vyama vingi katika nchi zilizokuwa zinaunga juhudi za USSR (ukomunisti)
 
Huo ndiyo ulikuwa mwanzo wa mageuzi Ulaya Magharibi , na kuanza kwa siasa za vyama vingi katika nchi zilizokuwa zinaunga juhudi za USSR (ukomunisti)
Sawa mkuu, asante sana kwa ufafanuzi wako
 
Utumiaji wako wa neno "cult of personality" umenifanya niamini wewe ni mtu unaependa history na unafahamu mengi pia kuhusu modern European history[emoji16]
Huyo ndugu anajua sana kuchambua na ninampa bigup sana kwa hilo
 
Kampuni ya UDA haikuletewa Ila ilinunua kutoka huko. Acha kuidhalilisha kampuni iliyokuwa na hadhi wakati huo sio sasa mnapogawiana na kina Kisena
Hakika UDA walikuwa vizuri sana hapo zamani
 
Upo vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…