Prof. Palamagamba Kabudi, baba wa kufukua na kusimulia historia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Punguza ubishi kijana
Kweli wewe mkongwe ila unaandika kama kijanaBi Jacqueline mimi siyo kijana hata kidogo.
Naifahamu vyema concorde na hata tulikuwa tunaiona kwenye tv. Hata siku ndege inapelekwa museum ilitoka live kwenye tv.
Concord ilikuwa na special airway na ilikuwa inatua kwenye airports maalumu duniani. Ilikuwa na uwezo wa kusafiri zaidi ya speed ya sauti.
Hebu jaribu kugoogle Concorde aeroplane uone.
Au yeye ndiye Faiza Foxy ila kaja kwa ID nyingine?Kweli wewe mkongwe ila unaandika kama kijana
Hapana, Faiza hawezi kuwa na IDs mbiliAu yeye ndiye Faiza Foxy ila kaja kwa ID nyingine?
Siku hizi yupo wapi huyu Faiza Foxy?Hapana, Faiza hawezi kuwa na IDs mbili