Nicole Joy Berry mrembo aliyejulikana kwa kilimo cha vitunguu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za utapeli

Hii habari JamiiForums wanaificha jukwaa la ma Celebrities, je ni JamiiForums robot ndiyo imefanya chaguo hili?

Inabidi uongozi wa JamiiForums kuchukua hatamu za maamuzi badala ya kuliachia Robot kufanya maamuzi uzi muhimu kama huu kutupwa na kufichwa katika vichochoro vya jukwaa la Celebrities
 
Wapare na wao wana mashepu kama dada zangu wa nyibhuko mwankenja kiwira πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
TABU MBAGA
 

Attachments

  • 30295cb781b9b3a97b0037fd12bfe3d2.mp4
    1.5 MB
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…