Nicole Joy Berry mrembo aliyejulikana kwa kilimo cha vitunguu akamatwa na Polisi kwa tuhuma za utapeli

Nafikiri huko lupango wako na choo za kuweka hizo matako, la sivyo wamuache tu.
 
Kun
Kuna kitu hakipo sawa. Nadharia yangu: Nicole kakosana na mtu wa mfumo, na tena mzito hivyo kamchomekea. Mi nilitegemea wangesema kiasia ambacho katapeli na hao watu 16 mbona wachache sana kusema eti wanejitokeza. Lakini pia inakuwaje wafanye press polisi ilhali matapeli wengine kama akina Mr Kuku hawajawahi wafanyia press. Nicole kama kuna rafiki yake humu anasoma aongee naye huyo waliyekosana na wanalizane. Sidhani kama ni rahisi kiasi hicho kutapeli eti nitengeneze tu group la WhatsApp then mnichangie sidhani. Nadharia yangu ya pili alikuwa mshiriki wa madawa, alichoka na kata kujitoa, hivyo wakamtengenezwa case. Hiyo kuchomoka kwake inabidi atafute watu wazito wa mfumo wamsaidie, kwani kama wametengeneza case itaisha kiurahisi. Ila pole zake mpambanaji
 
Kuna jamaa kaliwa kama 26M na anadeclare kabsa mbele ya Media aiseeh. Unajuliza mtu anafanya kazi daily na ukute ana familia anaenda kuweka hela kwa huyo Dada, sasa unajiuliza tu kwa yule Dada tu alivyo anakutapeli vipi?! Kwenye hili wajinga ni hao waliotapeliwa, huyo Dada anabaki kua shujaa mbele ya hizo nyumbu..senzi!!!
 
Nimewaza hivyo pia
 
Duhh huyu binti akifika umri wa Kajala atakua amekongoroka sana....
Amekaa late 30s kumbe early 30s

Labda kutotoa hiyo pesa ya dhamana ni strategy,
Wolper BFF wake huyu, tuone kama na yeye ana spirit ya Wema kwa Kajala back then
 
Hii ni uthibitisho idadi kubwa ya wa Tz hawana akili, yani huyo kilaza nae kaweza kutapeli watu?
Wanaohojiwa ukiwaangalia wanaonekana vijana smart,lakini ni wajinga tu.Mwanaume mtu mzima unawezaje kutapeliwa na mtu kama Nicole,yaani muda huo unamtumia pesa akili yako inakuwa inawaza nini😳.Katika hali ya kawaida tu,mtu ambaye amebadili umbo lake,jina lake unawezaje kumuamini kuwa atakutinzia hela na kukupa nyingi zaidi?Tanzania wajinga hawataisha..Na mimi nasema acha wapigwe tu,maana wamechagua wenyewe kuibiwa.
 
pia inaweza kuwa kweli na yeye na jina lake limetumika tu afu wanagawana % , awa wengi awana akili +njaa ni rahisi sana kutumika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…