Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama ni kweli, atakuwa mpare wa kwanza kufanya upuuzi nchiniKumbe Nicole berry ni mpare,
Robert Heriel Mtibeli
mshana daughter
Mshana Jr
Extrovert
Mbaga Jr
Vishu Mtata
Dada yenu anawaaibisha huko mitandaoni
hapo sawa kabisa, nilitaka nishangae mpare gani anafanya mambo ya hoovyo hivyoNi mnyalu wa Iringa ameishi sana Mkwawa/makanyagio
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀Utasikia " njoo kwa booss kweeezii " maninyaaa hapo unechoka hoi usiku unarudi home unakutana na matangazo ya boss kwezi nje ya madala dala
😅😅😅😅Hawa watu waliotapeliwa hizo hela zao zilikuwa hazina kazi hadi unakaa kabisa unamtumia mtu! Hii ni maajabu
Kuna kitu hakipo sawa. Nadharia yangu: Nicole kakosana na mtu wa mfumo, na tena mzito hivyo kamchomekea. Mi nilitegemea wangesema kiasia ambacho katapeli na hao watu 16 mbona wachache sana kusema eti wanejitokeza. Lakini pia inakuwaje wafanye press polisi ilhali matapeli wengine kama akina Mr Kuku hawajawahi wafanyia press. Nicole kama kuna rafiki yake humu anasoma aongee naye huyo waliyekosana na wanalizane. Sidhani kama ni rahisi kiasi hicho kutapeli eti nitengeneze tu group la WhatsApp then mnichangie sidhani. Nadharia yangu ya pili alikuwa mshiriki wa madawa, alichoka na kata kujitoa, hivyo wakamtengenezwa case. Hiyo kuchomoka kwake inabidi atafute watu wazito wa mfumo wamsaidie, kwani kama wametengeneza case itaisha kiurahisi. Ila pole zake mpambanajiWakuu,
Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, limemkamata Joyce Mbaga maarufu kwa jina la Nicole Joyberry kwa tuhuma za kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu na kufanya biashara ya kuanzisha ma-group na kukusanya pesa kinyume na sheria.
Soma pia: Nicole Berry, mwanadada anayepiga mamilioni kwenye kilimo cha vitunguu Iringa
Taarifa hiyo imetolewa leo na Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP Jumanne Muliro na kusema matukio hayo yametokea katika maeneo tofauti tofauti ya Jiji la Dar es Salaam na wakati mwingine nje ya mkoa wa Dar es Salaam.
"Matukio haya yametokea ndani na nje ya Dar es Salaam, kwa kuhamasisha baadhi ya watu akianzisha ma-group mbalimbali na kuweka majina hewa kwenye ma-grouup hayo kwamba wanachangia pesa na baada ya muda mfupi basi utapata kiwango kikubwa cha pesa, jambo ambalo baadaye anakuja kutopatikana kwenye simu na kupotea na pesa ambazo watu wamechangia," amesema Kamanda Muliro
Nimewaza hivyo piaKun
Kuna kitu hakipo sawa. Nadharia yangu: Nicole kakosana na mtu wa mfumo, na tena mzito hivyo kamchomekea. Mi nilitegemea wangesema kiasia ambacho katapeli na hao watu 16 mbona wachache sana kusema eti wanejitokeza. Lakini pia inakuwaje wafanye press polisi ilhali matapeli wengine kama akina Mr Kuku hawajawahi wafanyia press. Nicole kama kuna rafiki yake humu anasoma aongee naye huyo waliyekosana na wanalizane. Sidhani kama ni rahisi kiasi hicho kutapeli eti nitengeneze tu group la WhatsApp then mnichangie sidhani. Nadharia yangu ya pili alikuwa mshiriki wa madawa, alichoka na kata kujitoa, hivyo wakamtengenezwa case. Hiyo kuchomoka kwake inabidi atafute watu wazito wa mfumo wamsaidie, kwani kama wametengeneza case itaisha kiurahisi. Ila pole zake mpambanaji
Sasa tako na mtindi kapata wapi?Kama unaikumbuka ile nyimbo ya sumalee hakunaga yule video kile kidem jamaa alikua anakibembeleza na kucheza nako ndio huyu kwa sasa"
Nakazia maana nicole ni mrefu ukilinganisha na hako kkadada. Mwamba katumix na kasepa na kijijiKajichanganya, hicho kidada ni cha kariakoo, enzi hizo Nicole anaitwa Tabu yupo zake Mafinga huko anapalilia mpunga 😄
Wanaohojiwa ukiwaangalia wanaonekana vijana smart,lakini ni wajinga tu.Mwanaume mtu mzima unawezaje kutapeliwa na mtu kama Nicole,yaani muda huo unamtumia pesa akili yako inakuwa inawaza nini😳.Katika hali ya kawaida tu,mtu ambaye amebadili umbo lake,jina lake unawezaje kumuamini kuwa atakutinzia hela na kukupa nyingi zaidi?Tanzania wajinga hawataisha..Na mimi nasema acha wapigwe tu,maana wamechagua wenyewe kuibiwa.Hii ni uthibitisho idadi kubwa ya wa Tz hawana akili, yani huyo kilaza nae kaweza kutapeli watu?
Mloganzila uturuki ni hatariii mpka mdomoSasa tako na mtindi kapata wapi?
Mmh mbona wako differKama unaikumbuka ile nyimbo ya sumalee hakunaga yule video kile kidem jamaa alikua anakibembeleza na kucheza nako ndio huyu kwa sasa"
Elimu ipi mkuu? Rau Masha alikuwa anasali kwa kiboko ya wachawiElimu ni kitu Cha msingi sana shida elimu wengi hawana
Ndo yeye asee we fuatilia historia yake ya sanaa😄 na sahiv utu uzima ninMmh mbona wako differ
Duh noma sana.Ndo yeye asee we fuatilia historia yake ya sanaa😄 na sahiv utu uzima nin
pia inaweza kuwa kweli na yeye na jina lake limetumika tu afu wanagawana % , awa wengi awana akili +njaa ni rahisi sana kutumikaKun
Kuna kitu hakipo sawa. Nadharia yangu: Nicole kakosana na mtu wa mfumo, na tena mzito hivyo kamchomekea. Mi nilitegemea wangesema kiasia ambacho katapeli na hao watu 16 mbona wachache sana kusema eti wanejitokeza. Lakini pia inakuwaje wafanye press polisi ilhali matapeli wengine kama akina Mr Kuku hawajawahi wafanyia press. Nicole kama kuna rafiki yake humu anasoma aongee naye huyo waliyekosana na wanalizane. Sidhani kama ni rahisi kiasi hicho kutapeli eti nitengeneze tu group la WhatsApp then mnichangie sidhani. Nadharia yangu ya pili alikuwa mshiriki wa madawa, alichoka na kata kujitoa, hivyo wakamtengenezwa case. Hiyo kuchomoka kwake inabidi atafute watu wazito wa mfumo wamsaidie, kwani kama wametengeneza case itaisha kiurahisi. Ila pole zake mpambanaji