Nicole joyberry apandishwa kizimbani, akosa dhamana apelekwa segerea

Nicole joyberry apandishwa kizimbani, akosa dhamana apelekwa segerea

Kwani nae hakuenda dodoma na treni nyakati zile ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hawa slay kwini sijui hata wanakuaje.
Nicole anakosa 46M? Mie nachoka kabisaaa.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Na huku alisema kucha zake tu kubandika milioni 9.........sasa kama watu wanalipia kucha si wamtoe kwa dhamana......maana mtu kama simba la masimba hashindwi hiko kibunda.........ila dada kuna wakati alijikuta bongo bahati mbaya hakuna wa kutoka naye...........sasa ndio maana kasuswa
 
Back
Top Bottom