Zakayomfupi
JF-Expert Member
- Mar 11, 2024
- 281
- 320
Usiamini sana majirani hasa ukiwa umefanikiwa. Watanzania ni sadist huwa wanafurahia sana matatizo ya wenzao.Safi sana, nilisikiliza jirani zake jana nikaona Hassan ni mshenzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usiamini sana majirani hasa ukiwa umefanikiwa. Watanzania ni sadist huwa wanafurahia sana matatizo ya wenzao.Safi sana, nilisikiliza jirani zake jana nikaona Hassan ni mshenzi
Pika tu. Dagaa Mkuu au kaanga mchichaKwa ajili ya kitoweo
Huyu mahakamani aliingia kwa pozi na alionesha dharau!
Wanawake wanakua na Mali zaidi ya mwili kweli?upigaji wote huo hana hati ya mali isiyohamishika?
Sasa Mkuu Don kweli aende kwenye ujinga?Wanajifunza basi? mbwembwe zotee kufake maisha hana hata Don mmoja wa kumwekea dhamana.
Wanafurahi kama na wewe ulikua una waletea jeuri Watanzania hawapendi watu wanaojiona na kudharau wengine.Usiamini sana majirani hasa ukiwa umefanikiwa. Watanzania ni sadist huwa wanafurahia sana matatizo ya wenzao.
My dear mtani kwakweli sijui ila kuna scenario mbilikwahiyo lile trackooo halijamsaidia PSL god
Siku ukienda ndo utajua hutokiHuyu jamaa watakuwa wanamchukua jioni asubuhi wanamrudisha. Ni mwendo wa kujisevia tu
Mtani mjini huko kuna mambo sanaMy dear mtani kwakweli sijui ila kuna scenario mbili
1. nasikia hajatoa dhamana ili akwepe adhabu ya kisheria maana kesi yake ni ya utapeli hivyo akitoa dhamana ya nusu aliyotapeliwa itaonekana kweli ametapeli watu maana katoa dhamana hivyo hajatoa ili waamini kweli kuwa yeye sio tapeli
2. Itakuwa kweli tako halijamsaidia nasikia kule insta picha nyingi ana edit japo ni kubwa ila la insta sio la uhalisia si umeona sura ilivyomshuka hivyo
[emoji23][emoji23][emoji23] hawa slay kwini sijui hata wanakuaje.Huyu mahakamani aliingia kwa pozi na alionesha dharau!
Mahakamani kuna mambo mengi
Kuna mahakimu wengine akili zao wanazijuwa wenyewe
Unakukaga wema sepetu alivyopelekwa segerea alileta pozi mahakamani anaulizwa hiki analeta dharau hakim akampeleka siku 14 haha [emoji1] ndy watu wakaanza kwenda mbio kumtoa huko
Ova
Mbwembwe nyingi mara nna nyumba ya bilion 1 😄[emoji23][emoji23][emoji23] hawa slay kwini sijui hata wanakuaje.
Nicole anakosa 46M? Mie nachoka kabisaaa.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Dhamana yale ilikua Mil 46??[emoji23][emoji23][emoji23] hawa slay kwini sijui hata wanakuaje.
Nicole anakosa 46M? Mie nachoka kabisaaa.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Eti mlima vitunguu!! Ogopa hawa motivation speakersupigaji wote huo hana hati ya mali isiyohamishika?