Nicole joyberry apandishwa kizimbani, akosa dhamana apelekwa segerea

Nicole joyberry apandishwa kizimbani, akosa dhamana apelekwa segerea

Wanawake wanaishi maisha ya maigizo na kujisahau Sana .

Inawezekana katapeli na yeye katapeliwa .

Ninachojua mtu akiwa na jina anaweza kupta good privilege ambazo akizitumia vzr zikamtoa kimaisha na sio ujanja.
 
Watu serikalini kila kukicha wanaiba na kutapeli billions of money hawakamatwi wala kufikishwa mahakani lakini wanyonge ukiiba hata kuku moja saa hiishi umeshafunguliwa kesi...

Mambo ya kipumbavu kweli kweli. Hii inchi ni ya wanasiasa tu na royal families na koo zao.
Kwanini uibe Kuku ?

The weaker -is stronger and stronger is weaker
 
Hizi kesi hazinaga ushahidi,watu wa viwanja vya mkopo na biashara za online wanawapiga wabongo kila siku na ushahidi hakuna mahakamani kama hana pesa si haonge tko
 
Sisi wengine tuko nanjilinji. Sio kila wakati tunaingia hapa kujua yanayoendelea. Hujaweza kufikiria hata kidogo wapo wengi watakaofungua Uzi huu tu hawajui hawa ni akina nani? Walifanya nini?. Uandishi mzuri ilipaswa ujazie pia walifanya nini? Wapi?
Me nipo mjini lkn sijui hao slay ni akina nani na wamefanya tukio gani.
 
Pisi
 

Attachments

  • FB_IMG_1741703971418.jpg
    FB_IMG_1741703971418.jpg
    39.8 KB · Views: 1
Back
Top Bottom