NIDA wanapataje hela za kutoa gawio kwa serikali?

Nimeshangaa pia kuona OSHA inatowa gawio. Sasa sijui nao wanafanya biashara gani..!!??
Hawa hawafanyi biashara. Ila wanatoa ziada ya fedha zilizopatikana kutokana na tizo mbalimbali wakati wanatoa huduma.
Walikuwa huru sana ndio maana walikuwa najenga majengo makubwa makubwa. Na matumizi ya ovyo ovyo kwa sababu walikuwa hawapeleki ziada hazina.
 
Sasa nida mfano wanatozo zipi ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…