kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,080
- 4,914
Mitandao ya simu, vituo vyote vya radio, TV , na digital medias, wauuzaji na wasambazaji wa vifaa vya mawasiliano wanalipia leseni na ada zao za minara TCRATCRA nao wanafanya biashara ipi ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mitandao ya simu, vituo vyote vya radio, TV , na digital medias, wauuzaji na wasambazaji wa vifaa vya mawasiliano wanalipia leseni na ada zao za minara TCRATCRA nao wanafanya biashara ipi ?
nashukuru kwa ufafanuzi mkuuMitandao ya simu, vituo vyote vya radio, TV , na digital medias, wauuzaji na wasambazaji wa vifaa vya mawasiliano wanalipia leseni na ada zao za minara TCRA
Kutengeneza vitambulisho wameshindwa, kumbe wanakusanya fedha za kigawe kikubwa cha shirika.Hawa NIDA ni taasisi inayotoa vitambulisho kwa raia yaani haifanyi biashara sasa hilo gawio limetokana na nini au mimi ndio sijui labda kuna biashara ambayo NIDA wanafanya. Au amri za mkuu wa kazi? Ufafanuzi jamani
OSHA wanalazimisha makampuni wa-attend vikozi flan flan, ni kila module ni fee ya kutosha.Nimeshangaa pia kuona OSHA inatowa gawio. Sasa sijui nao wanafanya biashara gani..!!??
Up sahihi 1000%, vyuo vyote vya public havinaga surplus /faida , ni hasara , nazinatrgemea ruzukuIFM nayo imetoa gawio la 2 billion?
Dunia nzima Public University zinaendeshwa kwa ruzuku ya Serikal na zile Ada ni sehemu ndogo tu
Kuna ile kuangalia namba ya kitambulisho kwa sms, hela pia wanapata.Kwani mkuu unashangaa nini NIDA ukipoteza ID au km imekosewa na unataka kuirenew tena, una deposit 20k kupita control number wanakupa kupita bank ya CRDB. Mimi niliwahi kushughulikia ili tatizo na takribani tulikuwa km Mia na wenye tatizo km langu kwa siku ili assume ni 20k ngap kwa siku ile zilikusanywa.
Ufafanuzi plzzAll TRUTH nida ina sehemu ya kukusanya pesa tena kwa kiwango kikubwa tu, ndio maana nida imethubutu kujenga mijengo yake ya kutisha ktk kutoa huduma zake.
Moja ya mapato makubwa ya nida, ni kukusanya pesa ambayo ni kwa ajili ya marekebisho pamoja na kurudisha ID's zilizopotea, na hapo sio chin ya elfu 20 kwa MTU mmoja,
Nimeshangaa pia kuona OSHA inatowa gawio. Sasa sijui nao wanafanya biashara gani..!!??
IFM nayo imetoa gawio la 2 billion?
Dunia nzima Public University zinaendeshwa kwa ruzuku ya Serikal na zile Ada ni sehemu ndogo tu
Osha na nemc wana faini kbao nida sasaNimeshangaa pia kuona OSHA inatowa gawio. Sasa sijui nao wanafanya biashara gani..!!??
Zinatokana na gharama za msg wanazotuma watu kuulizia namba ya ya uajili NIDA