Mi nadhani labda ni ile hela ya affidavit ya cheti Cha kuzaliwa,watu wengi hawana kwa hiyo ile,Ada ya elfu kumi ndo hizo zinatolewa,kwa ufahamu wanguNIDA hawa hawa wa vitambulisho vya uraia au?
pengne wanauza vitambulisho siku hizi huwezi jua
Mkuu, hivi kweli tozo pekee ndio zinaweza fikia fedha nyingi kiasi cha kuwawezesha kutoa gawio la 5.38 Billions..!!??Hawa hawafanyi biashara. Ila wanatoa ziada ya fedha zilizopatikana kutokana na tizo mbalimbali wakati wanatoa huduma.
Walikuwa huru sana ndio maana walikuwa najenga majengo makubwa makubwa. Na matumizi ya ovyo ovyo kwa sababu walikuwa hawapeleki ziada hazina.
Mkuu... hata kama wana penalty za rasharsaha, lakini kwa gawio la 5.38 Billions... Mimi mdomo wangu umebaki wazi aiseeeeBora hata hawa huwa wana penalty zao za hapa na pale
Mkuu....Hizi pesa ni reserves za miaka mingi, ndizo zizilipelekwa bank kuu 2016, na sasa zimehalalishwa kuchukuliwa bila kulipwa
Ukijibiwa naomba unitag....Sasa nida mfano wanatozo zipi ??
Mkuu, hii unayo isemea wewe ipi chini ya msajili wa vizazi na vifo ambao hawafungamani na NIDAMi nadhani labda ni ile hela ya affidavit ya cheti Cha kuzaliwa,watu wengi hawana kwa hiyo ile,Ada ya elfu kumi ndo hizo zinatolewa,kwa ufahamu wangu
Hata mimi ndivyo ninavyo fahamu kwamba wanapokea ruzuku toka serukali kuu, sasa nimepata mshtuko zaidi nilipoona kwamba wametowa gawio/faida.Wao wanapokea hela toka serikalini. Hawafanyi biashara yoyote leo wanatoa mabilioni
Je unajua kazi za OSHA au unataka kubisha tu. Ninazozijua Mimi ni kuna Registration fees( Inategemea na mtaji wa kampuni). Training fees ambayo ni mandatory kwa kila kampuni( katika kila wafanyakazi 13 anatoka mmoja, train za fire, electrical defects, health and safety, first aid na kadhalika) laki 500,0000 kwa kila mfanyakazi mmoja anae attend. Agronomic fees( unalipa kampuni kila mwaka kwa ajiri ya inspection ya OSHA mfano mtaji ukiwa milioni 200 basi wastani wake ni laki 9 hadi milioni 1 kwa mwaka. Penalties hapo ndo usiseme. Kwa hiyo OSHA wana hela kwelikweli.Mkuu, hivi kweli tozo pekee ndio zinaweza fikia fedha nyingi kiasi cha kuwawezesha kutoa gawio la 5.38 Billions..!!??
Hii inanipa wasiwasi kwamba sasa kama hivyo ndivyo, basi OSHA kazi yao sio kutowa elimu ya Usalama na Afya sehemu za kazi, bali imebadilika na kuwa idara ya faini kwa makosa ya Usalama na Afya sehemu za kazi.
Mkuu, hata kama OSHA wanatowa mafunzo kwa malipo ya watahiniwa, lakini bado naona hicho kiasi bado ni kikubwa sana
Utasikia na trafiki wanatakiwa kuleta gawioMkuu, hivi kweli tozo pekee ndio zinaweza fikia fedha nyingi kiasi cha kuwawezesha kutoa gawio la 5.38 Billions..!!??
Hii inanipa wasiwasi kwamba sasa kama hivyo ndivyo, basi OSHA kazi yao sio kutowa elimu ya Usalama na Afya sehemu za kazi, bali imebadilika na kuwa idara ya faini kwa makosa ya Usalama na Afya sehemu za kazi.
Mkuu, hata kama OSHA wanatowa mafunzo kwa malipo ya watahiniwa, lakini bado naona hicho kiasi bado ni kikubwa sana
Utasikia na trafiki wanatakiwa kuleta gawio
Ndivyo wanavyotuona.Wanasiasa huwa wanadhani hatuna kabisa uwezo wa kufikiri
Ukipewa ruzuku toka serikalini, unachomoa hapo hapo na ka gawioHata mimi ndivyo ninavyo fahamu kwamba wanapokea ruzuku toka serukali kuu, sasa nimepata mshtuko zaidi nilipoona kwamba wametowa gawio/faida.
Fanya kujumlishaTPDC imejirudia mara mbili mwanzoni ni 66B na huku chini ni 2.5B
Umechanganya na RITA . Labda ni ile mia mia ya number za kitambulisho,na nyingine wameomba omba ili kumfurahisha mtukufuMi nadhani labda ni ile hela ya affidavit ya cheti Cha kuzaliwa,watu wengi hawana kwa hiyo ile,Ada ya elfu kumi ndo hizo zinatolewa,kwa ufahamu wangu
TCRA nao wanafanya biashara ipi ?Nimeshangaa pia kuona OSHA inatowa gawio. Sasa sijui nao wanafanya biashara gani..!!??