NIDA wanapataje hela za kutoa gawio kwa serikali?

IFM nayo imetoa gawio la 2 billion?

Dunia nzima Public University zinaendeshwa kwa ruzuku ya Serikal na zile Ada ni sehemu ndogo tu
Hiyo 2 bn ya IFM wangefanya chuo chao kiwe modern hata kufunga wifi chuo kizima au kujenga hostels za wanafunzi.
 
izo fedha za ziada si wangenunua mashine za kutoa vitambulisho
mfano:morogoro mkoa mzima mashine 1
 
Haya maigizo mapya hatukuwahi kuyaona awamu zilizopita. Kuna mtu ana kichaa cha kupenda sifa na kuonekana live kwenye runinga
Duh! Mkuu unanisikitisha. Hujui gawio ni faida ya ziada. Kama umepanga mwishoni mwa mwaka huu utapata milion 1 na ukapata milion 2 basi hapo milion moja yako na moja nyingine ni gawio. So zamani hizi taasisi zilikuwa zinatumia vibaya hizo za ziada km kujijengea majumba makubwa kujirimbikizia posho n.k. so Magu yupo sahihi kuwabana kurejesha serikalini divident kama huwezi acha kazi.
 
Naomba kuuliza hivi hawa NIDA wanapataje pesa za kutoa gawio kwa serekali?

View attachment 1271357

Gawio ni lazima coz ao wanapewa Pesa na serikali yakufanya shughuli zao so Gawio apo ni kua kiasi kilichobaki ( yaani wajibane kupunguza vitu visivyo vya lazima) baada ya kupewa fedha na serikali kulingana na bajeti yao wanazirudisha na ndo izo zilizopokelewa
 
Ebu nyie acheni kutufanya sisi mandondocha, Nida vitambulisho ilivyogawa hata theruthi ya nchi nzima bado. So hao watu wanaopoteza vitambulisho ndo wameweza kuchanga hillo gawio kubwa kiasi hicho? Penye kukosoa koseni na penye kusifu msifu lkn katika uhalisoa. Mafala nyie
 
Hapa ni bongo muvu tu,haya magawio mbona hayana utaratibu maalum,huwa yanatoka,Mzee baba,akianza kukoroma,inakuwa kama kushitukizwa tu,
Hapa ukiwa mkubwa wa shirika la umma,inabidi utoe,ukidangsnya umetoa kwenye faida,kumbe umetoa kwenye bajeti yako ya matumizi ya kawaida,bila hivyo,mtumbuo unakuhusu
 
Nchi zile ambazo serikali ni msimamizi tu. Hata hizo kazi za OSHA zingefanywa na makampuni binafsi
 
Wizi tu. taasisi ya umma inatakiwa kutoa huduma siyo biashara, biashara ni sector binafsi, taasisi binafsi na kampuni zikipewa fursa ya biashara zitakusanya mapato mengi zaidi ya Hutu tu hela kidogo twa gawio, kifupi wanajifurahisha tu.
 
Nida wanapata hela sana Ukipoteza kitambulisho ulieanda kutengeneza kingine unalipia 20 tshs
 
Nimeshangaa pia kuona OSHA inatowa gawio. Sasa sijui nao wanafanya biashara gani..!!??
Osha wanapiga fine viwanda visivyo simamia usalama wa wafanyakazi au usalama mahali pa kazi wanapata hela sana hawa jamaa
 
Osha wanapiga fine viwanda visivyo simamia usalama wa wafanyakazi au usalama mahali pa kazi wanapata hela sana hawa jamaa
Mkuu, hivi kweli tozo pekee ndio zinaweza fikia fedha nyingi kiasi cha kuwawezesha kutoa gawio la 5.38 Billions..!!??
Hii inanipa wasiwasi kwamba sasa kama hivyo ndivyo, basi OSHA kazi yao sio kutowa elimu ya Usalama na Afya sehemu za kazi, bali imebadilika na kuwa idara ya faini kwa makosa ya Usalama na Afya sehemu za kazi.
Mkuu, hata kama OSHA wanatowa mafunzo kwa malipo ya watahiniwa, lakini bado naona hicho kiasi bado ni kikubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…