Tapeli kwenye 1&2Unamlungula kiasi gani tuzungumze kiutu uzima mkuu
Not in this Country.Naomba msaada kujua kama inawezekana kwenda NIDA na card yangu iliyofutika na nikaondoka na NIDA yangu siku hiyo hiyo hata kama nikulipia maana wengine nasikia ukienda unapgwa calendar mpaka unachoka.
Kweli? Hii mpya..Mkuu mbona ukienda stationery wanafyatua kama namba unayo!
Ukipata kingine hakiikisha una save electronically na unatoa duplicate card ya akiba ambayo ndio utatembea nayo OG iweke sehemu salama.Mmeshindaje viongozi?
Naomba msaada kujua kama inawezekana kwenda NIDA na card yangu iliyofutika na nikaondoka na NIDA yangu siku hiyo hiyo hata kama nikulipia maana wengine nasikia ukienda unapgwa calendar mpaka unachoka.
NIDA yangu niliipata ikiwa imefutika baadhi ya taarifa Sasa siku moja ulikuwa kwenye koti baada ya kufua nimekuja kuiona imeshafutika kabisa hakuna hata taarifa moja ni card tupu. Na Nina shida ya haraka na nahitaji physical ID ili nifanikishe jambo langu. Je naweza nikipata Monday?
Natanguliza shukran !
View attachment 3606542View attachment 3606543
Technology ipi imetumika kutengeneza hii kitu wizi mtupuMmeshindaje viongozi?
Naomba msaada kujua kama inawezekana kwenda NIDA na card yangu iliyofutika na nikaondoka na NIDA yangu siku hiyo hiyo hata kama nikulipia maana wengine nasikia ukienda unapgwa calendar mpaka unachoka.
NIDA yangu niliipata ikiwa imefutika baadhi ya taarifa Sasa siku moja ulikuwa kwenye koti baada ya kufua nimekuja kuiona imeshafutika kabisa hakuna hata taarifa moja ni card tupu. Na Nina shida ya haraka na nahitaji physical ID ili nifanikishe jambo langu. Je naweza nikipata Monday?
Natanguliza shukran !
View attachment 3606542View attachment 3606543
Ni kweli mkuu, Tanganyika hakuna kinacho shindikana.Kweli? Hii mpya..
Mkuu Sasa tutafanyaje? Kama ID mhimu namna hiyo inafutika Kwa kuifulia tu ndani ya nguo! Inabidi tu unyoshe mkono ukamilishe mambo Yako otherwise tutamsubilia masihiNot in this Country.
Kuondoka nayo siku hio hio ni jambo haliwezekani kiutelekezaji, yoyote atakayekuambia inawezekana ni TAPELI.
Rushwa, Hongo, Mlungula, Takrima, kilemba pia vinaweza kukusaidia kuharakisha mchakato.
Tanzania bila rushwa, haiwezekani.
Kazi kweli!Ni kweli mkuu, Tanganyika hakuna kinacho shindikana.