Sasa hapo mkuu ni kwenda nida Moja Kwa Moja.Mkuu sitaki kufoji ID, inapohitajika inatakiwa Original ID hata zile copy za online hawataki
Mbona huo utaratibu mpya Sasa! NIDA nilipewa na imefutika na number yake ninayo je naanzaje kujisajiri upya?Hapo utaambiwa ku apply upyaaaaaaaaaaa!!!!
Yaani uanze kupeleka, nida za wazazi ama vyeti vya kuzaliwa.
Kwa kifupi yaani utafanya kama vile hujawahi kuwa na id
Rushwa ni rafiki wa uovu.Unamlungula kiasi gani tuzungumze kiutu uzima mkuu
Labda nida! Cha kura ninacho miaka mimgi sana hakijawahi kuleta zesheniHivi vitambulisho vina ubora duni sana.
Ukisikia wanavyojisifia sijui biometric information utafikiri kuna la maana.Hapo utaambiwa ku apply upyaaaaaaaaaaa!!!!
Yaani uanze kupeleka, nida za wazazi ama vyeti vya kuzaliwa.
Kwa kifupi yaani utafanya kama vile hujawahi kuwa na id
Mimi pia!Cha miaka 10 Sasa na kimenyooka, hizi NIDA ndo tumepigwa
Yeah details zipo na ile online copy ninayo nilichukuwa zamani walikuwa wanaruhu kudownload.Si kipo online na details zako zipo ?
Hizo kucha zingatia kuzipunguza ama usafi kidog
Yeah details zipo na ile online copy ninayo nilichukuwa zamani walikuwa wanaruhu kudownload.
Mkuu mikono ya mwanaume mchakarikaji, napata wapi muda wa kujari kucha za mikono?
Mkuu mifumo yenyew inaacha gap makusudi ili utoe chochote. Unadhani serikali inashindwa kusolve Hilo tatizo la NIDA? Mbona sim card ukipoteza ukienda unapewa hapo hapo? Ndo maana ya kuwa na fingerprint zako, sema Sasa ndo hivo ili watu waokote maana wanajuwa hii kitu ni mhimu na mtu atatoa tuRushwa ni rafiki wa uovu.
Inawezekana unajaza taarifa upya, lakini hata kama hujazi taarifa upya bado kupewa id mpya ni kipengele haswa, waulize watu waliopeteza. Kama wanazo biometrics ilitakiwa unaomba control number unalipia ukifika unaweka vidole tu mfumo ukisoma fingerprints zako unaprintiwa kitambulisho unaondoka nacho, sio mambo ya nenda rudi nenda rudi.Nadhani ni maneno ya mchangia maada hakuna kitu kama hicho Cha kujaza taarifa upya
Taarifa njema hiyo mkuu. Ila Sasa ukilipia ile control number na ukawa haujaongea na mtu ndo unaweza subilia mpaka miezi 6Inawezekana unajaza taarifa upya, lakini hata kama hujazi taarifa upya bado kupewa id mpya ni kipengele haswa, waulize watu waliopeteza. Kama wanazo biometrics ilitakiwa unaomba control number unalipia ukifika unaweka vidole tu mfumo ukisoma fingerprints zako unaprintiwa kitambulisho unaondoka nacho, sio mambo ya nenda rudi nenda rudi.
Wwe usinihalibie ugali😎Tapeli kwenye 1&2