Tuwasiliane hapo kwenye namba ndugu hatuwez shindwanaAsante mkuu ni bei gani
Amazon nanunuaje Kaka?Account vyema Tengeneza ya Usa,
Vocha utapata amazon, nunua Kisha redeem, iwe Vocha ya Usa pia.
Games nyingi za Ps kucheza online utahitaji kusubscribe hizo ps plus na deluxe ili uweze kucheza online.
Kila tier ya subscription sio tu inakuwezesha kucheza online bali unapewa na games za bure kila mwezi.
Na mastercard ama Visa card za bank ama mitandao ya simu.Amazon nanunuaje Kaka?
We ingia amazon kwanza search kisha fuata maelekezo ukishindwa sehemu leta hapa, ama kama unaona ni ngumu sana watu wanauza hizo code hapa hapa Tanzania, City mall zimejaa kibao, ila ndio mtu lazima akuekee cha juu.sasa kaka ni nani ataniuzia? Na je, vipi kuhusu digital code ntazijuaje?
Kumbe kwa ps4 ndio mlolongo hivi...Account vyema Tengeneza ya Usa,
Vocha utapata amazon, nunua Kisha redeem, iwe Vocha ya Usa pia.
Games nyingi za Ps kucheza online utahitaji kusubscribe hizo ps plus na deluxe ili uweze kucheza online.
Kila tier ya subscription sio tu inakuwezesha kucheza online bali unapewa na games za bure kila mwezi.
Sio tu kununua ni shida, kucheza online games nyingi hadi uwe member wa ps+ na ulipe kila mwezi,Kumbe kwa ps4 ndio mlolongo hivi...
Me nikajua kama kwenye pc tu. Ukishafungua account ya steam tu. Ukinunua linakaa kwa library yako unanainistall tu hata ukibadili pc ukidownload tena steam na kulogin tena kwa account yako linakuwa bado lipo ni ww tu kulishusha...
Khaa.. bado tena😂Sio tu kununua ni shida, kucheza online games nyingi hadi uwe member wa ps+ na ulipe kila mwezi,
Pc ipo poa sana mambo mengi.
CD unacheza offline, mfano kama ni Fifa unacheza mwenyewe, hata hizo games unazonunua online na Vocha unacheza offline pia.yani kwakweli ps inamambo ya ajabu na vipi kuhusu cd utaweza kucheza offline ukizinunua?
ooh asante kakaCD unacheza offline, mfano kama ni Fifa unacheza mwenyewe, hata hizo games unazonunua online na Vocha unacheza offline pia.
Ila ukitaka kucheza online game lako la. CD ama ulilonunua online utahitaji separate subscription ya ps+
CD unacheza offline, mfano kama ni Fifa unacheza mwenyewe, hata hizo games unazonunua online na Vocha unacheza offline pia.
Ila ukitaka kucheza online game lako la. CD ama ulilonunua online utahitaji separate subscription ya ps+
nilisikia ukiweka cd ya game eti utaitaji kuiupdate eti ni kweli?CD unacheza offline, mfano kama ni Fifa unacheza mwenyewe, hata hizo games unazonunua online na Vocha unacheza offline pia.
Ila ukitaka kucheza online game lako la. CD ama ulilonunua online utahitaji separate subscription ya ps+
kwani code za amazon zina gharama nafuu kuliko kununua hapa bongo? na vipi thamani yake inaendana na thamani ya soko la dollar yaani kwa mfano redeem code ina thamani ya dollar 10$ ambapo thamani ya hela ya Tz ni shilingi 26451.25 , utatakiwa kuilipa hii hela au itaongezeka kidogo? na vipi kuhusu kodi hawatakukata?We ingia amazon kwanza search kisha fuata maelekezo ukishindwa sehemu leta hapa, ama kama unaona ni ngumu sana watu wanauza hizo code hapa hapa Tanzania, City mall zimejaa kibao, ila ndio mtu lazima akuekee cha juu.
Kama lina version mpya ndio, utahitaji ku update, ila inategemea na game na gamenilisikia ukiweka cd ya game eti utaitaji kuiupdate eti ni kweli?