Joseph 44
Senior Member
- Nov 14, 2022
- 100
- 65
- Thread starter
- #21
chief mkwawa hujanijibu hili swali langu kakakwani code za amazon zina gharama nafuu kuliko kununua hapa bongo? na vipi thamani yake inaendana na thamani ya soko la dollar yaani kwa mfano redeem code ina thamani ya dollar 10$ ambapo thamani ya hela ya Tz ni shilingi 26451.25 , utatakiwa kuilipa hii hela au itaongezeka kidogo? na vipi kuhusu kodi hawatakukata?