Nielekezeni jinsi ya kununua ma-Game kwenye PS 4

Kama unataka Kujailbreak console yoyote tumia wololo

Information za ps4
Hivi mkuu ukifanya hivyo unaweza pia kununua game og? Ili kucheza tena online.

Mfano mimi kwenye pc nina game za crack na pia nina game og za kununua store hasa fc25 nanunuaga game la mpira og ili niweze kucheza online na watu wengine Kutoka kokote duniani.

Sasa kwa console inakuaje au ukijail break tu unakuwa huwezi tena kuingia online maana nasikia ukiingia tu online unapigwa bunn.
 
Hapo offline tu, ili ucheze online na Psn inabidi uwe na latest firmware, na jailbreak siku zote ni firmware za zamani.

Kuna games chache sana ambazo hazitumii Psn hizi unaweza kwenda online.

Pia internet ina connect vitu kama YouTube, Netflix etc unaweza angalia.
 
Back
Top Bottom