chief mkwawa hujanijibu hili swali langu kakakwani code za amazon zina gharama nafuu kuliko kununua hapa bongo? na vipi thamani yake inaendana na thamani ya soko la dollar yaani kwa mfano redeem code ina thamani ya dollar 10$ ambapo thamani ya hela ya Tz ni shilingi 26451.25 , utatakiwa kuilipa hii hela au itaongezeka kidogo? na vipi kuhusu kodi hawatakukata?
Kuna updates 14 toka lizinduliwe.kwa mfano mkuu umenunua wwe k24 ya mwaka 2024 litakuwa lina version mpya?
kwaio kaka ukiliweka kwenye ps4 yako hilo wwe k24 litakudai update mojawapo? na hizo patch utazitolea wapi au wao watakupa autommaatic uupdate cd ikiingia?Kuna updates 14 toka lizinduliwe.
Patch Notes | WWE 2K24
Stay up to date on the latest WWE 2K24 Patch Updates as the developers improve your gaming experience. Including Gameplay and Online releases.wwe.2k.com
So itategemea version ngap hio cd ipo ongezea na hizo hapo kwenye website.
alafu kingine kaka nimeona kwenye mtandao wa ps unaweza download game bila kuhusisha console yako kwa kutumia kifaa kingine kama vile computer lakini likaingia kwenye ps yako ebu apo nieleweshe kwa undani zaidi kakaKuna updates 14 toka lizinduliwe.
Patch Notes | WWE 2K24
Stay up to date on the latest WWE 2K24 Patch Updates as the developers improve your gaming experience. Including Gameplay and Online releases.wwe.2k.com
So itategemea version ngap hio cd ipo ongezea na hizo hapo kwenye website.
PC games unazo??Tuwasiliane hapo kwenye namba ndugu hatuwez shindwana
Ingia tu Amazon mkuu utaziona, ingia Google search amazon, ingia amazon andika ps4 gift code zitakuja, kama anauza PlayStation mwenyewe ni exactly bei hio hio ukitoa $50 u pata $50 sema kuna makato ya benki/mtandao wa simu.chief mkwawa hujanijibu hili swali langu kaka
Hizo ni zile ambazo zimekuwa jailbreak, unacheza games za kudownload tu, sema sio ps4 zinakubali, mpaka uwe na ps4 yenye version ya zamani kama 9,alafu kingine kaka nimeona kwenye mtandao wa ps unaweza download game bila kuhusisha console yako kwa kutumia kifaa kingine kama vile computer lakini likaingia kwenye ps yako ebu apo nieleweshe kwa undani zaidi kaka
Wanakupa automatic, kutegemea na game na game inaweza kuwa lazima ama hiyari.kwaio kaka ukiliweka kwenye ps4 yako hilo wwe k24 litakudai update mojawapo? na hizo patch utazitolea wapi au wao watakupa autommaatic uupdate cd ikiingia?
ooooh apo sawa nimekuelewa mno kwaio cha mhimu game liingie kwanza kwenye console hayo mambo ya kuupdate yanakuwa ni optionalWanakupa automatic, kutegemea na game na game inaweza kuwa lazima ama hiyari.
Mfano una game la mpira wa miguu EA FC 2025, January kuna usajili umefanyika, hivyouki update ule usajili unakuja kwenye game lako, usipo update game linacheza kama kawaida sema tu wachezaji watakuwa timu zao za zamani.
kaka nakuomba nijibu swali langu la janaWanakupa automatic, kutegemea na game na game inaweza kuwa lazima ama hiyari.
Mfano una game la mpira wa miguu EA FC 2025, January kuna usajili umefanyika, hivyouki update ule usajili unakuja kwenye game lako, usipo update game linacheza kama kawaida sema tu wachezaji watakuwa timu zao za zamani.
Inaweza kuwa lazima ama hiyari, inategemea na game.ooooh apo sawa nimekuelewa mno kwaio cha mhimu game liingie kwanza kwenye console hayo mambo ya kuupdate yanakuwa ni optional
Swali lipi?kaka nakuomba nijibu swali langu la jana
hili kaka chiefkwani code za amazon zina gharama nafuu kuliko kununua hapa bongo? na vipi thamani yake inaendana na thamani ya soko la dollar yaani kwa mfano redeem code ina thamani ya dollar 10$ ambapo thamani ya hela ya Tz ni shilingi 26451.25 , utatakiwa kuilipa hii hela au itaongezeka kidogo? na vipi kuhusu kodi hawatakukata?
Zipo za kutosha ndugu nichek whatsapp 0710701361 kwa listPC games unazo??
Nimekujibu hapo juu ni bei hio hio, kama ni $50 utauziwa $50,hili kaka chief
Kama unataka Kujailbreak console yoyote tumia wololoMbona wanasema mwisho ni 11.00 na sio 12 ulivyosema wew mkuu