Hivi mkuu ukifanya hivyo unaweza pia kununua game og? Ili kucheza tena online.
Mfano mimi kwenye pc nina game za crack na pia nina game og za kununua store hasa fc25 nanunuaga game la mpira og ili niweze kucheza online na watu wengine Kutoka kokote duniani.
Sasa kwa console inakuaje au ukijail break tu unakuwa huwezi tena kuingia online maana nasikia ukiingia tu online unapigwa bunn.