Nielewesheni hili jambo Rais Samia kuzungumza na wanawake wa Tanzania siku ya Demokrasia duniani

Sasa ni kitu gani unaandika hiki?!Kama huwezi kujenga hoja zenye mantic kamwe usiwe unaniquote!
Hivi huyu sio wewe unayeandika [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
My Godness!!

1.Mimi nimesema kuwa usiniquote kama huna hoja zenye mantic kwa sababu ni kunipotezea muda.

2.Wewe ukadai kuwa nakataa usiniquote.

Kwa kukusaidia ni kwamba hizo hapo juu ni sentensi mbili tofauti kabisa na zenye maana mbili tofauti kabisa.Sentensi ya kwanza haitaki uniquote kwa sababu huna hoja zenye mantic na sentensi ya pili haitaki uniquote whatever what kitu ambacho sijakisema mimi bali umekisema wewe.Umeelewa sasa hivi?
Naona unaleta hoja za kupimana nani anajua kusoma na kuandika.

Tatizo unataka niandike unachowaza wewe hiyo haiwezekani. Anyway tupunguze kubishana mimi na wewe tuwaache wadau wengine wachangie.
Sijataka uandike ninachokitaka mimi bali nimetaka uandike hoja zenye mantic.Hivi ni vitu viwili tofauti kabisa.
 
Rais mwanamke, mambo ya nje mwanamke, ulinzi na nini vile naye mwanamke, sawa na sie sindikiza wanawake
 
Kwenye "uchafuzi" wa 2020, MaCCM waliteua wagombea wanawake wasiozidi 25 kugombea kwenye majimbo, CHADEMA iliteua wanawake zaidi ya 50... ni muhimu kukumbushana hili leo ikiwa ni siku ya Demokrasia na Mh Rais anakutana na wanawake... Tanzania ina majimbo 264
 
Huyu mama hajijui na hajui chochote, anapangiwa kila kitu na yeye mbio mbio kutekeleza.
Hii ndio maana ya mwanasesere.
Embu tazama hii trend....
-Kusafiri ovyo ovyo nje ya nchi
-Kuibatiza nchi yetu ni nchi ya kigaidi
-Kucheza filamu ya utalii kama sterling
-Kuapishwa kuwa Chief mwanamke katika kabila la wasukuma.
-Kuwakusanya wanawake siku ya Demokrasia.
 
Si mnasema kila siku wanawake wapewe nafasi, basi ndio hivyo sasa. Tutaelewana tu huko mbeleni. Na huyo mama akikaa miaka kumi wanaume watajikuta katika harakati za kupigania haki zao.
 
Wadau wa demokrasia ni milioni sitini za Watanzania. Hapa nyinyi chadema ndipo mnakosea - mnajimilikisha demokrasia kana kwamba inawahusu nyinyi tu! Ndiyo maana hampati support ya watanzania wengi. Nani aliye sema wapinzani ndio Wadau wa demokrasia peke yao. Hujui kwamba tangu enzi na enzi wanawake ndio wamekuwa Wadau wa kwanza wa demokrasia?
Kajifunze kwanza ni nani na nani ambao ni Wadau.
 
Wadau wa demokrasia ni milioni sitini za Watanzania. Hapa nyinyi chadema ndipo mnakosea - mnajimilikisha demokrasia kana kwamba inawahusu nyinyi tu! Ndiyo maana hampati support ya watanzania wengi.
Wapi nimesema kuwa mimi ni chadema?
Nani aliye sema wapinzani ndio Wadau wa demokrasia peke yao.
Wapi nimesema kuwa wapinzani ndiyo wadau pekee wa demokrasia Tanzania?
Hujui kwamba tangu enzi na enzi wanawake ndio wamekuwa Wadau wa kwanza wa demokrasia?
Kajifunze kwanza ni nani na nani ambao ni Wadau.
Unaweza kuthibitisha kuwa Tanzania wadau wa kwanza wa demokrasia ni wanawake?
 
Hata mimi najiuliza sipati jibu! Siku ya demokrasia anakutana na wanawake wa ccm? Kwani ndiyo wadau wa demokrasia? Halafu anazungumza nao matakwa yake ya kuwa raisi 2025 siyo mambo ya demokrasia? Bado nashangaa!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…