Zanzibar wanajisemea tu lakini hawajui kilichopo kichwani mwa mtukufu malaika tokea chato ni kufuta uchaguzi mkuuMakubwa haya! Lakini Zanzibar wameshasema uchaguzi utafanyika - sasa uchaguzi utafanyikaje Zanzibar na bara usifanyike?
Mbombo ilipoZanzibar wanajisemea tu lakini hawajui kilichopo kichwani mwa mtukufu malaika tokea chato ni kufuta uchaguzi mkuu
Hii nchi imekuwa ngumu kueleweka kabisa.uzuri ni kuwa hatukosi hoja kuhalalisha ulimbukeni wetu.
... kwa maelezo yako hayo wakulaumiwa sio wao ni sisi ambao tunaonekana kutotoa ushirikiano na majirani dhidi ya gonjwa hili. Adui amevamia kijiji, la mgambo limelia wanakijiji wote isipokuwa wewe wamekusanyika wanamsaka "simba mla watu"; inagundulika "simba mla watu" huyu anaishi ndani kwako huku wewe umepiga kimya! Kama sio mchawi wakuiteje?Lakini hata hivyo, ilikuwa muhimu sana kwa Tanzania kuwa na mkakati wa pamoja na hizi nchi ukizingatia kuna suala la bidhaa zao kupitia kwetu. Sasa ajabu hatuna mawasiliano ya hivyo hata Museveni kasema hivyo. Mkutano wa SADC raisi wetu kasusia!
Hujawahi kusikia Zanzibar ni nchi? au siyo nchi! hapo ndiyo wanapapenda!Makubwa haya! Lakini Zanzibar wameshasema uchaguzi utafanyika - sasa uchaguzi utafanyikaje Zanzibar na bara usifanyike?
... uchaguzi ni suala la muungano? Ule wa Rais wa JMT na wabunge ni suala la muungano ila ule wa Rais SMZ na wawakilishi sio suala la muungano. So, Zanzibar wanaweza kufanya huo wa pili bila kuhitaji "baraka" za muungano.Hujawahi kusikia Zanzibar ni nchi? au siyo nchi! hapo ndiyo wanapapenda!
IMara nyingine nashindwa kuelewa kama mie ndio mwenye tatizo la kuelewa mabo au ni wale ninaowasikiliza wenye tatizo hilo.
Hap nyuma tuliambiwa kwamba hatutakuwa na lock down kwa ajili ya corona kwa kuwa nchi jirani zinatutegemea kuwafikishia bidhaa zao. Hata mifano ikatolewa ya Rwanda, Zambia, DRC na kdhalika.
Baada ya muda nikasikia kwenye mpaka wetu na Rwanda madereva wa malori toka Tanzania wanazuiwa kuingia nchini Rwanda kuwapelekea bidhaa zinazoingia kupitia bandari zetu. Na sasa nasikia Zmbia nao wamefung mpaka japo sisi tuko tayari kuwendelea kuwapelekea bidhaa zao zinazoptia hapa kwetu.
Hebu nielewesheni, kwa nini hawa jamaa wanafanya hivi wakati lengo letu ni kuwaonyesha roho yetu nzuri kwa majirani? Kwa nini hawatuelewi lakini? Hawaoni kwamba raisi wetu ana ufikirio sana kwao?
WHO wana taarifa zote juu ya vituko vya Serikali ya CCM isiyojali Afya za wananchi bali inaangalia jinsi ya kufaidi pesa iliyotengwa kwa ajili ya uchaguzi mkuu pindi ukifutwa, sasa wanaangalia pesa badala ya uhai na Afya za watanzaniaLakini hata hivyo, ilikuwa muhimu sana kwa Tanzania kuwa na mkakati wa pamoja na hizi nchi ukizingatia kuna suala la bidhaa zao kupitia kwetu. Sasa ajabu hatuna mawasiliano ya hivyo hata Museveni kasema hivyo. Mkutano wa SADC raisi wetu kasusia!
Kuingia kenya mpaka ukae siku 14 kenya wanapiga vita kweli hawataki mikusanyiko misikitini makanisani wala watu kukaa vijiweni kama hapo Tanzania kwetuJipe muda utajua Tanzania ni nchi ya namna gani Zambia hawawez kufunga mipaka wameongea tu kwenye vyombo vya habari Basi Kama anavyo ongea Kenya et Ana Lock down wakati watu wanazurula tu mtaaniI
Sent using Jamii Forums mobile app
zambia hawafanyi cheap politics km bongo..watu huko wapo serious na maisha ya raia waoJipe muda utajua Tanzania ni nchi ya namna gani Zambia hawawez kufunga mipaka wameongea tu kwenye vyombo vya habari Basi Kama anavyo ongea Kenya et Ana Lock down wakati watu wanazurula tu mtaaniI
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini hata hivyo, ilikuwa muhimu sana kwa Tanzania kuwa na mkakati wa pamoja na hizi nchi ukizingatia kuna suala la bidhaa zao kupitia kwetu. Sasa ajabu hatuna mawasiliano ya hivyo hata Museveni kasema hivyo. Mkutano wa SADC raisi wetu kasusia!
Watalii hata corona ikipita hawatakuwa na imani na Tanzania baada ya kushuhudia wakificha taarifa za wagonjwa wa corona wakikazania kutangaza waliopona wakati waliopona wanaambukizwa tena kwa mara ya pili baada ya kwenda kushinda vijiweni Bar misikitini makanisani kwenye misongamano mikusanyiko mikubwa.zambia hawafanyi cheap politics km bongo..watu huko wapo serious na maisha ya raia wao
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo huko kenya watu hawafi? Huko Uganda watu hawafi? Au bado unawazia ile kasima ya manispaa ya ubungo ambayo kuna watu wanaivizia?Kenya uganda wanazuia watanzania wanakaa siku 14 mipakani wanapimwa sana, watanzania wamesuswa na Nchi Jiran baada ya kuona wabunge waziri na viongozi wengi wamekufa kwa uzembe tu
Ukitaka kuelewa jinsi ulimwengu ulivyo naomba sikiliza hii Audio:Mra nyingine nashindwa kuelewa kama mie ndio mwenye tatizo la kuelewa mabo au ni wale ninaowasikiliza wenye tatizo hilo.
Hap nyuma tuliambiwa kwamba hatutakuwa na lock down kwa ajili ya corona kwa kuwa nchi jirani zinatutegemea kuwafikishia bidhaa zao. Hata mifano ikatolewa ya Rwanda, Zambia, DRC na kdhalika. Baada ya muda nikasikia kwenye mpaka wetu na Rwanda madereva wa malori toka Tanzania wanazuiwa kuingia nchini Rwanda kuwapelekea bidhaa zinazoingia kupitia bandari zetu. Na sasa nasikia Zmbia nao wamefung mpaka japo sisi tuko tayari kuwendelea kuwapelekea bidhaa zao zinazoptia hapa kwetu.
Hebu nielewesheni, kwa nini hawa jamaa wanafanya hivi wakati lengo letu ni kuwaonyesha roho yetu nzuri kwa majirani? Kwa nini hawatuelewi lakini? Hawaoni kwamba raisi wetu ana ufikirio sana kwao?
Ukitaka kuelewa jinsi ulimwengu ulivyo naomba sikiliza hii Audio:
Conspiracy theories.
Hakun hata chembe ya ushahidi katika hiyo recording. NI maneno tu ya mtu ambae bila shaka ni shabiki mkubwa wa Magufuli, au wale watu ambao wako kwenye "dola" iliyoko madarakani ambao lazima wataitetea. Kwa hiyo siwezi kuchukulia yanayosemwa kuwa ukweli ulivyo