Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 12,699
- 22,598
- Thread starter
-
- #41
Mkuu, unajua hizo nchi watu wamekufa wangapi, ukilinganisha na hapa kwetu?Kwa hiyo huko kenya watu hawafi? Huko Uganda watu hawafi? Au bado unawazia ile kasima ya manispaa ya ubungo ambayo kuna watu wanaivizia?
Ushauri wa bure wewe kama wewe jipange kwakujiweka mwenyewe lockdown akili za mbayuwayu changanya na zakwakoMara nyingine nashindwa kuelewa kama mie ndio mwenye tatizo la kuelewa mabo au ni wale ninaowasikiliza wenye tatizo hilo.
Hap nyuma tuliambiwa kwamba hatutakuwa na lock down kwa ajili ya corona kwa kuwa nchi jirani zinatutegemea kuwafikishia bidhaa zao. Hata mifano ikatolewa ya Rwanda, Zambia, DRC na kdhalika.
Baada ya muda nikasikia kwenye mpaka wetu na Rwanda madereva wa malori toka Tanzania wanazuiwa kuingia nchini Rwanda kuwapelekea bidhaa zinazoingia kupitia bandari zetu. Na sasa nasikia Zmbia nao wamefung mpaka japo sisi tuko tayari kuwendelea kuwapelekea bidhaa zao zinazoptia hapa kwetu.
Hebu nielewesheni, kwa nini hawa jamaa wanafanya hivi wakati lengo letu ni kuwaonyesha roho yetu nzuri kwa majirani? Kwa nini hawatuelewi lakini? Hawaoni kwamba raisi wetu ana ufikirio sana kwao?
Hapa kwetu watu wamekufa kweli sio utani mim niko sector ya afya najionea miujiza sio chini ya watanzania 1,500 wamekufa mpaka sasa na kama tungekuwa tunapima effectively tungekuwa na wagonjwa au wenye maambukizi sio chini ya 10,000.Jamani mimi nawapa angalizo tu jikinge hakikisha immune yako iko vizuri unakula chakula bora,unapata muda wa kupumzika.Na wale wenye magonjwa ya moyo,kisukari na wako dhaifu wajilinde na muwalinde wasipate maambulizi kwani ni hatari sana.Watanzania wengi hakuna utamaduni wa kupima afya zetu kwa sababu ya hali za maisha.Anyway cha muhimu ni wewe ujilinde serikali haikutunzi wala kukupa dawaMkuu, unajua hizo nchi watu wamekufa wangapi, ukilinganisha na hapa kwetu?
Mkuu hiyo ya kuwasaidia wenzetu ili ni sababu tu ya kuhalarisha kutokuwepo na lockdown,swali ni kuwa je baba aliongea na wenzake kwanini asifunge mipaka? kwa maana angeongea nao nao wasingetufungia.Wewe huna tatizo kabisa tatizo lipo kwa tunaowasikiliza.Mara nyingine nashindwa kuelewa kama mie ndio mwenye tatizo la kuelewa mabo au ni wale ninaowasikiliza wenye tatizo hilo.
Hap nyuma tuliambiwa kwamba hatutakuwa na lock down kwa ajili ya corona kwa kuwa nchi jirani zinatutegemea kuwafikishia bidhaa zao. Hata mifano ikatolewa ya Rwanda, Zambia, DRC na kdhalika.
Baada ya muda nikasikia kwenye mpaka wetu na Rwanda madereva wa malori toka Tanzania wanazuiwa kuingia nchini Rwanda kuwapelekea bidhaa zinazoingia kupitia bandari zetu. Na sasa nasikia Zambia nao wamefunga mpaka japo sisi tuko tayari kuwendelea kuwapelekea bidhaa zao zinazoptia hapa kwetu.
Hebu nielewesheni, kwa nini hawa jamaa wanafanya hivi wakati lengo letu ni kuwaonyesha roho yetu nzuri kwa majirani? Kwa nini hawatuelewi lakini? Hawaoni kwamba raisi wetu ana ufikirio sana kwao?
Mkuu, nimesema hapo juu; tumemsikiliza Museveni akiongea, tumeona kutokuwapo kwa Tanzania kwenye mkutano wa SADC juu ya suala hili. Je tutasema tumeongea na wenzetu?Mkuu hiyo ya kuwasaidia wenzetu ili ni sababu tu ya kuhalarisha kutokuwepo na lockdown,swali ni kuwa je baba aliongea na wenzake kwanini asifunge mipaka? kwa maana angeongea nao nao wasingetufungia.Wewe huna tatizo kabisa tatizo lipo kwa tunaowasikiliza.
Mara nyingine nashindwa kuelewa kama mie ndio mwenye tatizo la kuelewa mabo au ni wale ninaowasikiliza wenye tatizo hilo.
Hap nyuma tuliambiwa kwamba hatutakuwa na lock down kwa ajili ya corona kwa kuwa nchi jirani zinatutegemea kuwafikishia bidhaa zao. Hata mifano ikatolewa ya Rwanda, Zambia, DRC na kdhalika.
Baada ya muda nikasikia kwenye mpaka wetu na Rwanda madereva wa malori toka Tanzania wanazuiwa kuingia nchini Rwanda kuwapelekea bidhaa zinazoingia kupitia bandari zetu. Na sasa nasikia Zambia nao wamefunga mpaka japo sisi tuko tayari kuwendelea kuwapelekea bidhaa zao zinazoptia hapa kwetu.
Hebu nielewesheni, kwa nini hawa jamaa wanafanya hivi wakati lengo letu ni kuwaonyesha roho yetu nzuri kwa majirani? Kwa nini hawatuelewi lakini? Hawaoni kwamba raisi wetu ana ufikirio sana kwao?
Mkuu, nimesema hapo juu; tumemsikiliza Museveni akiongea, tumeona kutokuwapo kwa Tanzania kwenye mkutano wa SADC juu ya suala hili. Je tutasema tumeongea na wenzetu?
Lakini jambo la kuzingatia ni kwamba, kama nchi kama Zambia na Rwanda hazitapitisha mizigo yao Tanzania, kuna mahali watapitisha, na huko watakapoamua kupitisha usidhani kwamba wataacha kupitisha baada ya tatizo la korona kwisha. Mara nyingine hatuna uwezo wa kuona mbali. Kamwe tusifikiri nchi hizi zitajikomoa ili kuikomoa Tanzania kama wengi wasioona mbali wanavyofikiria
Mara nyingine nashindwa kuelewa kama mie ndio mwenye tatizo la kuelewa mabo au ni wale ninaowasikiliza wenye tatizo hilo.
Hap nyuma tuliambiwa kwamba hatutakuwa na lock down kwa ajili ya corona kwa kuwa nchi jirani zinatutegemea kuwafikishia bidhaa zao. Hata mifano ikatolewa ya Rwanda, Zambia, DRC na kdhalika.
Baada ya muda nikasikia kwenye mpaka wetu na Rwanda madereva wa malori toka Tanzania wanazuiwa kuingia nchini Rwanda kuwapelekea bidhaa zinazoingia kupitia bandari zetu. Na sasa nasikia Zambia nao wamefunga mpaka japo sisi tuko tayari kuwendelea kuwapelekea bidhaa zao zinazoptia hapa kwetu.
Hebu nielewesheni, kwa nini hawa jamaa wanafanya hivi wakati lengo letu ni kuwaonyesha roho yetu nzuri kwa majirani? Kwa nini hawatuelewi lakini? Hawaoni kwamba raisi wetu ana ufikirio sana kwao?
Kenya vifo 33, Uganda hawasemi ukweli.Mkuu, unajua hizo nchi watu wamekufa wangapi, ukilinganisha na hapa kwetu?
Ajali zinaua watu wengi kuliko coronaWHO wamewambia Nchi jirani endapo wataendelea kuwambukiza wananchi wao kwa makusudi kwa kuruhusu Raia wa Tanzania kuingia kwao watakosa pesa za kupambana na corona, WHO wana taarifa kuwa CCM hawataki kupambana na corona ndiyo maana wameruhusu watu wakae vijiweni vibarazani wabanane misikitini makanisani waambukizane kwa wingi wafe ili CCM wapate kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu , WHO hawataki watanzania waambukizane Nchi jirani
Ujinga tu,eti tuko huru?uko huru na mnanuka madeni?hiyo pesa mwenzio anaitaman we unaleta propaganda ππππππacheni kujidanganya watanzania washaamkaUkitaka kuelewa jinsi ulimwengu ulivyo naomba sikiliza hii Audio:
Katika Afrika nchi ambayo iko independent na ambayo inaubavu wa kuweza amua mambo yake yenyewe ni Tanzania tu mdogo wangu. Nchi zote nyingine za Afrika zimekuwa hijacked na mabeberu. Believe me! Usiwe suke na mazuri ya vitani wako. Huo ni moto ambao umefunikwa na majivu mengi.
Kenya, Uganda na Rwanda hawako sawa na sisi. Marais wa nchi hizi zote ni Mapappett tu wa wazungu. Umeona hivi juzi juzi Rais Kenyatta alivyo jikomba kwa wazungu? Subiri nitaku-update na data.
Na isitoshe Rais Magufuli aliomba IMF na World Bank wasamehe baadhi ya madeni yao kwenye kipindi hiki cha janga la Coronavirus ili hizo nchi ziweze pambana ma hili janga, umesikia hizo nchi zilicho fanya? Faster faster wamekubali kupokea mikopo kipya kutoka hao mabeberu. Huu sasa utauhitaje? Sio unafiki huo?
Hao ndiyo Marais tunao taka kuwa nao kwenye East African Community
Sisi tuna bahati ya lugha yetu ya kiswahili. Kiswahili ni lugha ya amani. Wazungu wamejaribu sana kutufarakanisha wameshindwa. Ndiyo maana wanatuletea Stations zao BBC, VOA na DW katika lugha yetu ili waweze kutumanipulate.
Kenya inatumiwa sana na wazungu kutuvuruga sisi. Toka enzi ya Nyerere.
Wahenga watakumbuka Vita vya Kagera mkenya ambaye tuna damu moja alitusaliti sisi na kumsaidia Idi Amini Dada.
Fumbua macho ndugu yangu. Usipende ya wazungu na majirani ukafiri utakuwa salama.
Rais Magufuli amewashtukia sasa. Imechukua mda mrefu sana. Nafikiri sasa ameanza kuelewa kuwa sisi tuko peke yetu.
Wewe nchi ambayo inapoteza Uhuru wake na kuwaacha wazungu waje kusuruhisha mgogoro wao unategemea kushirikiana nao?
Sent using Jamii Forums mobile app
Rais wetu hakufikiria hizo nchi bali yeye mwenyewe katika kukusanya kodi za kulipia ndege anazodai zimeshalipiwa, anaogopa uchumi utashuka kipindi hiki cha uchaguzi, hatumii busara na kujua ana sababu za uchumi kushuka dunia nzima.Mara nyingine nashindwa kuelewa kama mie ndio mwenye tatizo la kuelewa mabo au ni wale ninaowasikiliza wenye tatizo hilo.
Hap nyuma tuliambiwa kwamba hatutakuwa na lock down kwa ajili ya corona kwa kuwa nchi jirani zinatutegemea kuwafikishia bidhaa zao. Hata mifano ikatolewa ya Rwanda, Zambia, DRC na kdhalika.
Baada ya muda nikasikia kwenye mpaka wetu na Rwanda madereva wa malori toka Tanzania wanazuiwa kuingia nchini Rwanda kuwapelekea bidhaa zinazoingia kupitia bandari zetu. Na sasa nasikia Zambia nao wamefunga mpaka japo sisi tuko tayari kuwendelea kuwapelekea bidhaa zao zinazoptia hapa kwetu.
Hebu nielewesheni, kwa nini hawa jamaa wanafanya hivi wakati lengo letu ni kuwaonyesha roho yetu nzuri kwa majirani? Kwa nini hawatuelewi lakini? Hawaoni kwamba raisi wetu ana ufikirio sana kwao?
Ebu fikiria wenyeviti wa Serikali za mitaa wote ni wa CCM lakini cha ajabu hawahangaiki kuzuia wananchi wao kukaa vijiweni vibarazani kurundikana kuambukizana hovyo, wameamua watanzania wafe kiwepesi lakini sasa Duniani kote wamejua Tanzania inasaka kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu kwa kuwatoa Raia wake kafara kwa njia hizo za kuruhusu umati vijiwe watu kujazana makanisani misikitini misibani na sasa tarehe 22 may 2020 watafungua shule watoto wakaambukizane mashuleni wafe na walimu wafe sababu kuu ni kusaka kisingizio cha kuahirisha uchaguzi mkuu.
Mnapotakiwa kuonyesha way forward mnaleta hadithi za kufikirika .....oh mara Tanzania hivi .......oh mara Tanzania vile acheni propaganda za zidumu fikira za Mwenyekiti ............. analeta hadithi tulizokuwa tunasimuliana shuleni kuhusu Mzee Kawawa R.I.PUkitaka kuelewa jinsi ulimwengu ulivyo naomba sikiliza hii Audio: