Cavill
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 379
- 1,284
Wakuu aisee nna changamoto ambayo nahitaji kuielewa kabla sijaipotezea as usual but this time nahitaji msaada wenu Ili nikiipotezea nisije jiuliza maswali kama haya Tena hapo badae..
Wanawake
1. Kwanini wanawake haswa my age Kila ninapo wakuta sehemu wanazotoa services mfano canteen, kwenye biashara zao ndogo ndogo hua Wana act so unfriendly, yaan unaweza simama mbele yake akawa anahudumia wengine we ni kama hakuoni? Happened so many time
2. Njiani unaweza kutana nao wawili ama watatu wakipiga stori the moment umewaaproach TU ukimya unatanda mpaka wakifika mbali kidogo na Hi hawatoi ila ukiwasalimia Wana respond vizuri??
3. Kuna wengine una mpa Hi tu ye anakausha mpka unajiona fala
4. Why?
Wanaume wenzangu nao
1. Yaan wanaweza kukulia buyu TU na unakuta ni jamaa zako unaofahamiana nao japo sio marafiki
2. Kuna muda kwenye social functions unaona kama Wana conspire kukubagua hivi bila sababu za msingi
3. Why??
Binafsi, sikumbuki Mara ya mwisho nimemtukana mtu sincerely, yaan ni mnyenyekevu to the bones, sinaga time na tabia za kutongoza ovyo, sio mchafu mchafu Siku zote utanikuta smart mwilini na kichwani. Why jamani? Au ni mikosi nimetupiwa na roho ya kukataliwa