Niende kusoma digrii au diploma?

Ndio uhalisia mkuu, baadae wanaanza kuilaumu serikali πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†.
 
Pamoja na yote huwezi kupata chuo kwa EED kwa ngazi ya degree kwa bongo. Ima umetudanganya, umekosea kutype au umepata chuo nje ya bongo hii ya mama Samia.
 
Umemaliz kila kitu uzi ufungwe.
 
Ushauri wangu k_wako
1.Omba Mungu akuonyeshe Njia iliyosahihi kwako ili uweze kut! oboa Kwa Imani yako .
2.Angalia wewe kipaumbele chako ni kipi maswala ya kitabibu(afya) au biashara ,yaani chochote unachotaka lazima tuanze na mawazo yako wewe unataka nini,jamii inakushauri lipi(apa najumuisha mawazo ya wadau wote humu jukwaani,wazazi,n.k,Hali ya maisha huko kwenu ipoje,Connection kama ipo.


Hiyo hapo ni baadhi ya mitazamo yangu .Kila la kheri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…