Hivi vitu bana ushauri hua mgumu kutoa maana unakuta hujaweka nyama za kutosha.
Ungeweka vitu kama family background, personal interest zako, unaishi wapi, nani anaenda kulipia hizo gharama za masomo n.k.
Nasema hvo kwa sababu ya vitu 2.
1. Huko dentistry, hakuna watu wengi so opportunity unaeza kupata though ukijitahd ukapiga zaidi ukafungua clinic yako mwenyewe utapata mihela.
2. Huko arusha, wel inategemeana pia. Mqana ukiimaliza hyo kozi kaa ukijua suala la kupata kazi hadi ujuqne na watu n.k.
All in all n story ndefu