Niende kusoma digrii au diploma?

Niende kusoma digrii au diploma?

Umempa ushaur mzuri kitu cha kuanua hatma ya maisha yako inatakiwa kiwe moyoni kama kuchagua mke au mume sio kuleta mtandaoni watu wakupe ushaur kitu cha hatma ya maisha yako inakuwaje usome mpk form six then uje uulize kwa watu nisome kozi gani how yaan watu ka hawa wakimaliza chuo wakaa miaka mitatu hana ajira anawezajinyonga coz kitu alichosomea inawezekana hakikuwa moyon mwake ila kapata ushaur kwa mtu
Ndio uhalisia mkuu, baadae wanaanza kuilaumu serikali 😆😆😆.
 
Pamoja na yote huwezi kupata chuo kwa EED kwa ngazi ya degree kwa bongo. Ima umetudanganya, umekosea kutype au umepata chuo nje ya bongo hii ya mama Samia.
 
Hivi vitu bana ushauri hua mgumu kutoa maana unakuta hujaweka nyama za kutosha.
Ungeweka vitu kama family background, personal interest zako, unaishi wapi, nani anaenda kulipia hizo gharama za masomo n.k.
Nasema hvo kwa sababu ya vitu 2.
1. Huko dentistry, hakuna watu wengi so opportunity unaeza kupata though ukijitahd ukapiga zaidi ukafungua clinic yako mwenyewe utapata mihela.
2. Huko arusha, wel inategemeana pia. Mqana ukiimaliza hyo kozi kaa ukijua suala la kupata kazi hadi ujuqne na watu n.k.
All in all n story ndefu
Umemaliz kila kitu uzi ufungwe.
 
Ushauri wangu k_wako
1.Omba Mungu akuonyeshe Njia iliyosahihi kwako ili uweze kut! oboa Kwa Imani yako .
2.Angalia wewe kipaumbele chako ni kipi maswala ya kitabibu(afya) au biashara ,yaani chochote unachotaka lazima tuanze na mawazo yako wewe unataka nini,jamii inakushauri lipi(apa najumuisha mawazo ya wadau wote humu jukwaani,wazazi,n.k,Hali ya maisha huko kwenu ipoje,Connection kama ipo.


Hiyo hapo ni baadhi ya mitazamo yangu .Kila la kheri
 
udahili unaendelea at 08.01.41_dc85d81f.jpg
 
Back
Top Bottom