Niende Uganda ama Kenya

Niende Uganda ama Kenya

acha zako bhana Kwan hapa Tz hamna ayo. ulio sema mm nimekua Kenya sasa Mienz kadha inaenda sijaona watu wenye moyo na walio sereous na maisha kama kenya
Kenya hapana simshauri, hatoishi kwa amani. Polisi wa Kenya ni wasumbufu sana kutwa kusaka wageni na wakikukuta mgeni uwe na documents zote mpaka COVID 19 certificate utembee nayo
 
Hahaha!
Unamshauri mleta thread afike Uganda au kenya?
To be honest, naamini tz Ina potential kubwa kuliko sehemu hizo.

ajaribu ku break through hiki kipindi kigumu alicho nacho, anaeza hama mkoa au wilaya.

Au hata KU change Aina ya mishe anazo fanya, Kama ni msomi, aweke gamba la cheti chini ili awe hustler wa kimtaa zaidi .
 
Back
Top Bottom