Niende Uganda ama Kenya

Niende Uganda ama Kenya

Ukitaka ukarimu kwa wageni nenda Uganda, ukitaka kufanya 'kazi' nenda Kenya. BTW tunanapendwa sana na nchi za jirani, lakini kuna ambao wanaweza kukutumia kama fursa wakijua umetoka TZ (Bongo lala)
 
Inategemea unakoenda unaenda kufanya nini mfano kuna jirani yangu yupo congo ana maduka makubwa nasikia huko congo na kariakoo yupo, moshi kashusha mjengo wa maana, dar yupo masaki.
 
Back
Top Bottom