Niende Uganda ama Kenya

acha zako bhana Kwan hapa Tz hamna ayo. ulio sema mm nimekua Kenya sasa Mienz kadha inaenda sijaona watu wenye moyo na walio sereous na maisha kama kenya
Kenya hapana simshauri, hatoishi kwa amani. Polisi wa Kenya ni wasumbufu sana kutwa kusaka wageni na wakikukuta mgeni uwe na documents zote mpaka COVID 19 certificate utembee nayo
 
Hahaha!
Unamshauri mleta thread afike Uganda au kenya?
To be honest, naamini tz Ina potential kubwa kuliko sehemu hizo.

ajaribu ku break through hiki kipindi kigumu alicho nacho, anaeza hama mkoa au wilaya.

Au hata KU change Aina ya mishe anazo fanya, Kama ni msomi, aweke gamba la cheti chini ili awe hustler wa kimtaa zaidi .
 
E

Exchange rate sio kitu.

Kama ukiwa Engineer Uganda ukalipwa 10M ya Uganda. Na Engineer wa Tz akalipwa 6.2M ya Tz ,si inakuwa sawa tu?
Sawa Tu kama unapata hiyo nafasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…