Nenda Uganda utakuja kunishikuru ukihitaji mwenyeji naomba nitafute.Mtu aende wapi kujitafuta ambako usalama, gharama za maisha sio za kutisha. Ambako kuna watanzania wengi. Ambako watu wake ni wakarimu kwa wageni.
Wapi unashauri mtu aende KENYA ama UGANDA?
Sahihi kabisa......hapo bado hujagusia Zanzibar na mafiaπ πKenya itoe kabisa hapo,alafu why uende hizo nchi wakati TZ ina mikoa mingi ya kujitafuta na ukajipata?.
Mwanza,Mbeya,Moro,Rukwa,Chuga,Kahama n,k
Kama unataka wabongo uta fail mishe zakoIyo Fort potal kuna wabongo wenzetu wengi sio?
Kama unahisi Kenya wana roho mbaya basi huwezi ishi US, Europe nchi zilizo endeleaKenya hapana aisee wale watu wana roho mbaya sana, matapeli na hali ya uchumi si nzuri
yap,Tanzania karibu kila mkoa kuna fursa za kujipata,maeneo mengine kuna fursa za msimu,lakini pia kuna maeneo yenye fursa mtiririko zipo tu daily.Sahihi kabisa......hapo bado hujagusia Zanzibar na mafiaπ π
Wewe upo Kampala mkuu?Njoo kampara au zamia masaka uganda kwanza ila hakikisha unakuja na pikipiki boxer yyte mengine utajifunzia uku.
Asante kwa ushauriUkitaka ukarimu kwa wageni nenda Uganda, ukitaka kufanya 'kazi' nenda Kenya. BTW tunanapendwa sana na nchi za jirani, lakini kuna ambao wanaweza kukutumia kama fursa wakijua umetoka TZ (Bongo lala)
Asante sana kwa ushauri mkuuNenda Uganda utakuja kunishikuru ukihitaji mwenyeji naomba nitafute.
kwamba Hizo nchi zina sifa sawa na watu wa Kibera ?Kama unahisi Kenya wana roho mbaya basi huwezi ishi US, Europe nchi zilizo endelea
We jamaa weweπkwamba Hizo nchi zina sifa sawa na watu wa Kibera ?
Wewe upo Kampala mkuu?
Umefunga PM kakaKaribu matombo rafiki,kuna pesa ya kumwagaaaa.
Tutalima,tutavuna na kufuga.
Uganda ndio inaongoza Afrika kuongea kiingereza kizuri. Wakenya kile siyo kiingereza wanachanganya na kilugha chaoNenda Kenya ukajifunza Kiingereza ila mambo mengine sikushauri
π π π π π mbongo hata umkute australia atakukazia tu.Achana na mambo ya kukutana na wabongo mahali,