sasa ww unaendaa bila docs why?Kenya hapana simshauri, hatoishi kwa amani. Polisi wa Kenya ni wasumbufu sana kutwa kusaka wageni na wakikukuta mgeni uwe na documents zote mpaka COVID 19 certificate utembee nayo
Mkuu naomba uniongezee maarifa kidogo,hizo nchi za Namibia na Botswana zina mfumo gani wa maisha tofaut na yetu ambapo unaona ni bora huko?Ila bado naona Tz kuna room kubwa sana, nchi za kwenda hapa africa ni namibia na botswana tu kwengine ushubwada tu unaeza enda congo ukapata kisanga au ukapeleka mzigo sudani ukalia.
Kuna ndugu alienda somalia anatuambia hata kaa arudie.
Msumbiji napo hapafai japo pesa ipo.
Uganda kenya ni sawa na Tz tena bora Tz.
Ni tag akikujibuMkuu naomba uniongezee maarifa kidogo,hizo nchi za Namibia na Botswana zina mfumo gani wa maisha tofaut na yetu ambapo unaona ni bora huko?
Mfumo wa maisha uliopo pale jamii za kule zimestaarabika sana, policies za nchi zinalinda raia na wageni, ajira na fursa za kibiashara zipo na zina tija.Mkuu naomba uniongezee maarifa kidogo,hizo nchi za Namibia na Botswana zina mfumo gani wa maisha tofaut na yetu ambapo unaona ni bora huko?
Isingekuwa hakutabiriki wakati wa uchaguzi (m7 atatokaga kwa style gani)... ningehamiaga uganda maana watu wao wapo business-oriented sana..Mtu aende wapi kujitafuta ambako usalama, gharama za maisha sio za kutisha. Ambako kuna watanzania wengi. Ambako watu wake ni wakarimu kwa wageni.
Wapi unashauri mtu aende KENYA ama UGANDA?
SahihiWakenya wapo serious na maisha nyie mnaita roho mbaya