Niende Uganda ama Kenya

Niende Uganda ama Kenya

Ila bado naona Tz kuna room kubwa sana, nchi za kwenda hapa africa ni namibia na botswana tu kwengine ushubwada tu unaeza enda congo ukapata kisanga au ukapeleka mzigo sudani ukalia.
Kuna ndugu alienda somalia anatuambia hata kaa arudie.
Msumbiji napo hapafai japo pesa ipo.
Uganda kenya ni sawa na Tz tena bora Tz.
 
Mkuu naomba uniongezee maarifa kidogo,hizo nchi za Namibia na Botswana zina mfumo gani wa maisha tofaut na yetu ambapo unaona ni bora huko?
 
Mkuu naomba uniongezee maarifa kidogo,hizo nchi za Namibia na Botswana zina mfumo gani wa maisha tofaut na yetu ambapo unaona ni bora huko?
Mfumo wa maisha uliopo pale jamii za kule zimestaarabika sana, policies za nchi zinalinda raia na wageni, ajira na fursa za kibiashara zipo na zina tija.

Kuna hospitali zenye huduma bora, elimu bora economic and social welfare balanced, hakuna vita wala migogoro ya kisiasa.

Nchi hazina uswahili, hazina wezi na wakabaji.
Ni nchi ambazo kila mmoja anafuata maisha yake...every one learned how to mind his own business.
Ishu yao kubwa ni kupata work permit au uraia.

Isanga family anakuja kujazia nyama.
 
Mtu aende wapi kujitafuta ambako usalama, gharama za maisha sio za kutisha. Ambako kuna watanzania wengi. Ambako watu wake ni wakarimu kwa wageni.

Wapi unashauri mtu aende KENYA ama UGANDA?
Isingekuwa hakutabiriki wakati wa uchaguzi (m7 atatokaga kwa style gani)... ningehamiaga uganda maana watu wao wapo business-oriented sana..
 
Back
Top Bottom