mama grace
Member
- Jan 20, 2020
- 65
- 297
Naomba msaada wenu kati ya bati za Alaf na Sunshare ipi bora. Fundi ananishauri nitumie Sunshare ila mimi napenda Alaf.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona Kama siku hizi hazing"ai kivileeee??Alaf kachukue uko..uyo fundi anataka % yake tu sunshare..lakini kama unataka kitu kizuri..alaf na rangi yake inang'aa sana
Yes kamanda upo sahihi nilienda kiwandani kwao nikanunua bati zao. Ziko na rangi Ile Ile mpaka leo. Ukiziangalia kama plastic flani hivi lkn ni bati na zikiwekwa Mia hapo chini unaweza dhani zipo ishirini. Sunshare wako Safi Sana toka 2017 mpaka leo nearly 6 yrs hazijapauka ziko vile viletatizo mabati ya mawakala ni fake mengi
mm nili nunua mabati pale sunshare kiwandani hadi leo mwaka wa 4 bado kupauka.
ushauri wangu ukitaka bati nyingi tafuta wakala kanunue kiwandani
Angalia fresh inaweza kuwa kiboko hio..alafu wakapiga muhuri wa AlafMbona Kama siku hizi hazing"ai kivileeee??
Miaka 4 bado ni muda mfupi sana angalau miaka zaidi ya 5 hivitatizo mabati ya mawakala ni fake mengi
mm nili nunua mabati pale sunshare kiwandani hadi leo mwaka wa 4 bado kupauka.
ushauri wangu ukitaka bati nyingi tafuta wakala kanunue kiwandani
Mabati yalichukuliwa kiwandani ALAFAngalia fresh inaweza kuwa kiboko hio..alafu wakapiga muhuri wa Alaf
Alafu ndo lenyewe mkuu halipauku hayo mengine kanjanja tupu likiwa jipya linang'aa ila juaa kali baadas linapauka.Naomba msaada wenu kati ya bati za Alaf na Sunshare ipi bora. Fundi ananishauri nitumie Sunshare ila mimi napenda Alaf.
Nimeagiza bati Alaf hadi Leo sijapata toka tarehe 9/2 mvua zimeanza nahisi kuchanganyikiwa. Sijui nifanyeje
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Miaka hiyo labda, hakuna tofauti kati ya bati za Alaf na sunshareAlaf ndio hati bora kuliko zote hapa nchini