Niezeke bati la kiwanda gani kati ya Alaf na Sunshare?

Niezeke bati la kiwanda gani kati ya Alaf na Sunshare?

Bei sh ngapi pice moja gej 30 migongo mipana?
Kuhusu bei mkuu wanauza kwa mita bora kwenda kiwandani.
Wanapima kwa mita ili usipate hasara ya kubakiza vipande ambavyo huta vitumia.
Yaani ipo hivi fundi anapima urefu wa bati unao takiwa kwenye paa kulingana na mpauo kisha kwa vipimo hivyo ndo unaenda kununua.
 
Bati Bora ni Bati za ALAF wengine hakuna kitu nimeezeka mwaka 2013 Bati kama imeezekwa jana kitu bado kinang'aa balaaa.
 
Mzigo huo
IMG-20220309-WA0026.jpg
 
Back
Top Bottom