GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Ulikuwa wapi muda wote?
- Wana JamiiForums tulikukosea nini labda hadi ukatususa?
- Umejisikiaje kutukimbia Sisi ambao tulikupenda na bado tunakupenda na tutakupenda?
- Hivi unajua kuwa Wewe humu Jamvini una thamani kubwa na umuhimu mkubwa mno?
- Bado upo Kimahusiano na ' Ze Bolidi ' au mmeshagawana njia zenu?
- Ni kweli Kwamba Mimba ndiyo ilikufanya ukae mbali na JamiiForums?
- Je urejeo wako JamiiForums ni wa muda tu au sasa tutaririka na kuserereka milele humu?
Maswali mengine watayaongezea Members kadri watakavyoguswa na urejeo wako humu ila Mimi yangu ni hayo na nitashukuru ukiyajibu yote na pia kama utaulizwa mengine na Wadau basi pia wajibu tu.
Nakupenda sana Dada na Karibu tena Jamvini JamiiForums.
Nawasilisha.