Nifah nimekuona uko ' online ' upesi sana tunakuomba majibu yako ya Kutukuka juu ya haya maswali

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
  1. Ulikuwa wapi muda wote?
  2. Wana JamiiForums tulikukosea nini labda hadi ukatususa?
  3. Umejisikiaje kutukimbia Sisi ambao tulikupenda na bado tunakupenda na tutakupenda?
  4. Hivi unajua kuwa Wewe humu Jamvini una thamani kubwa na umuhimu mkubwa mno?
  5. Bado upo Kimahusiano na ' Ze Bolidi ' au mmeshagawana njia zenu?
  6. Ni kweli Kwamba Mimba ndiyo ilikufanya ukae mbali na JamiiForums?
  7. Je urejeo wako JamiiForums ni wa muda tu au sasa tutaririka na kuserereka milele humu?
Nifah tunasubiri kwa hamu sana majibu yako ila niseme tu ya kwamba Wiki iliyoisha GENTAMYCINE nilikuwa na furaha kwa Mtandao wangu pendwa wa JamiiForums kurejea na hatimaye Wiki hii hasa leo GENTAMYCINE nimekuwa na furaha tena kumuona Rafiki na Dada yangu Kipenzi JamiiForums Nifah akiwa ' online ' humu.

Maswali mengine watayaongezea Members kadri watakavyoguswa na urejeo wako humu ila Mimi yangu ni hayo na nitashukuru ukiyajibu yote na pia kama utaulizwa mengine na Wadau basi pia wajibu tu.

Nakupenda sana Dada na Karibu tena Jamvini JamiiForums.

Nawasilisha.
 
  1. Ulikuwa wapi muda wote?
  2. Wana JamiiForums tulikukosea nini labda hadi ukatususa?
  3. Umejisikiaje kutukimbia Sisi ambao tulikupenda na bado tunakupenda na tutakupenda?
  4. Hivi unajua kuwa Wewe humu Jamvini una thamani kubwa na umuhimu mkubwa mno?
  5. Bado upo Kimahusiano na ' Ze Bolidi ' au mmeshagawana njia zenu?
  6. Ni kweli Kwamba Mimba ndiyo ilikufanya ukae mbali na JamiiForums?
  7. Je urejeo wako JamiiForums ni wa muda tu au sasa tutaririka na kuserereka milele humu?
Nifah tunasubiri kwa hamu sana majibu yako ila niseme tu ya kwamba Wiki iliyoisha GENTAMYCINE nilikuwa na furaha kwa Mtandao wangu pendwa wa JamiiForums kurejea na hatimaye Wiki hii hasa leo GENTAMYCINE nimekuwa na furaha tena kumuona Rafiki na Dada yangu Kipenzi JamiiForums Nifah akiwa ' online ' humu.

Maswali mengine watayaongezea Members kadri watakavyoguswa na urejeo wako humu ila Mimi yangu ni hayo na nitashukuru ukiyajibu yote na pia kama utaulizwa mengine na Wadau basi pia wajibu tu bila kuchoka.

Nakupenda sana Dada na Karibu tena Jamvini JamiiForums.

Nawasilisha.
 
Ngoja niende insta yake nichungulie nina miezi sijamcheki na yake..

Ila mengine hapo uliyouliza mie napita.. aje ajivu yeye maana sikuyaona then..
 
Gentamycine hahaaaaa

Well,nitajibu kwa kifupi tu ya kwamba nilikuwa nje ya JF kwa masuala yangu binafsi ambayo sihitaji kuyatolea maelezo.

Kweli niliwakosea na kuwasononesha wanaonipenda humu na kiukweli nilitafutwa sana hadi nikajiona mwenye hatia. Sikuwahi kujua kama Nifah ni ID kubwa kiasi gani hadi nilipoacha kuitumia JF kwa muda!
Na baada ya kugundua hilo basi kupotea kwangu humu hakutojirudia tena...

Niseme nini tena? Nashukuru kwa upendo huu na namshukuru Mungu nimerejea tena kuungana nanyi wapendwa wangu.
Cheers
 
Karibu sana dada
 
Bado uko na ze bolidi? Tunasubir jibu timu fisi
 
Nimefurahi sana na mno kupata hii ' Comment ' yako. Nakupenda na nakukubali kuliko unavyojua au unavyodhani japo ' Mbunye ' yako anakula mwingine. Karibu sana Dada na Rafiki Nifah.
 
Hahaahaa kwa hakika upo loyal sana kwa huyo mrembo,nikisomaga comment zako namkumbuka jamaa yangu mnyarwanda nilipiga nae deal nyingi sana za pesa.
 
Back
Top Bottom