Nifah nimekuona uko ' online ' upesi sana tunakuomba majibu yako ya Kutukuka juu ya haya maswali

Bwahahahhahahahahha mleta mada ana gundu si bure

Karibu kilingeni msata upate kuoshwa gundu hilo mleta mada ili watu waweke comment zao hata muhusika hakuoni loooh maajabu.

Hakika gundu halijawahi kumuacha Genta salama.
Huu uzi ulikua una comment nyingi tuu ila mods wameziondoa kwa sababu wanazozijua wao wenyewe.
 
Nifah ndio nan mkuu?

1. Mwanamke Mrembo
2. Mwanamke Mcheshi
3. Mwanamke Mkarimu
4. Mwanamke anayejua Kujichanganya vyema na Jamii
5. Mwanamke mwenye Maadili
6. Mwanamke anayejitambua vilivyo
7. Mwanamke mwenye ushawishi wa Kutukuka, anayependwa na kukubalika mno hapa JamiiForums

Sijui una swali lingine tena labda Mkuu?

Cc: Nifah
 
Nalitambua hilo na nashukuru sana.
Lol [emoji23]

Karibu sana Dada. Tunatofautiana sehemu ndogo tu Mimi ni Simba SC na CCM wa Kindakindaki huku Wewe ni Yanga SC na CHADEMA wa Kulialia.
 
Ma supastaa wa jf katika ubora wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…