Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu uzi ulikua una comment nyingi tuu ila mods wameziondoa kwa sababu wanazozijua wao wenyewe.Bwahahahhahahahahha mleta mada ana gundu si bure
Karibu kilingeni msata upate kuoshwa gundu hilo mleta mada ili watu waweke comment zao hata muhusika hakuoni loooh maajabu.
Hakika gundu halijawahi kumuacha Genta salama.
Mtani wangu huyu naelewa nimeamua tuweke comment za utani maana zingine wanafutaHuu uzi ulikua una comment nyingi tuu ila mods wameziondoa kwa sababu wanazozijua wao wenyewe.
Mbunye ndio nini GENTAMYCINENimefurahi sana na mno kupata hii ' Comment ' yako. Nakupenda na nakukubali kuliko unavyojua au unavyodhani japo ' Mbunye ' yako anakula mwingine. Karibu sana Dada na Rafiki Nifah.
Nifah nimekuona uko ' online ' upesi sana tunakuomba majibu yako ya Kutukuka juu ya haya maswali huu hapa.Mtani wangu huyu naelewa nimeamua tuweke comment za utani maana zingine wanafuta
Ni muasis wa uhuru wa TanganyikaNitfah ndio nani,ana umuhimu gani katika Tanzania hii ya viwanda.
Huu uzi umesuswa au?
Mlengwa hadi aje
Shemela letu niffah
[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
Huu uzi ulikua una comment nyingi tuu ila mods wameziondoa kwa sababu wanazozijua wao wenyewe.
Ni muasis wa uhuru wa Tanganyika
kiungo wa yanga anayehamia madrid
ze bolidi yule cia mzima[emoji23][emoji23][emoji23]
Nifah ndio nan mkuu?
Nalitambua hilo na nashukuru sana.
Lol [emoji23]
WhyHakuna comments zinazonifurahisha hapa kama comments za forex lol!![emoji23][emoji23][emoji23]
Stori/thread inamuhusu Nifah sasa watu wanaleta mambo ya forex inahusu?![emoji4][emoji4][emoji4]
Ma supastaa wa jf katika ubora wao.Gentamycine hahaaaaa
Well,nitajibu kwa kifupi tu ya kwamba nilikuwa nje ya JF kwa masuala yangu binafsi ambayo sihitaji kuyatolea maelezo.
Kweli niliwakosea na kuwasononesha wanaonipenda humu na kiukweli nilitafutwa sana hadi nikajiona mwenye hatia. Sikuwahi kujua kama Nifah ni ID kubwa kiasi gani hadi nilipoacha kuitumia JF kwa muda!
Na baada ya kugundua hilo basi kupotea kwangu humu hakutojirudia tena...
Niseme nini tena? Nashukuru kwa upendo huu na namshukuru Mungu nimerejea tena kuungana nanyi wapendwa wangu.
Cheers
Mbunye ndio nini GENTAMYCINE