Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,797
- 28,904
Alafu Nifah ujue tulishawahi kukutaana aisee na kuongea kabisaHahaaaaa
Haha labda atakuwa na uhusiano na hiyo kituStori/thread inamuhusu Nifah sasa watu wanaleta mambo ya forex inahusu?![emoji4][emoji4][emoji4]
Stori/thread inamuhusu Nifah sasa watu wanaleta mambo ya forex inahusu?!
Alafu Nifah ujue tulishawahi kukutaana aisee na kuongea kabisa
hahahahaha! Wanaume wa dar wanazunguka wee hadi anakuja mjanja na kunyanyuka nae mazimaUkitaka Kutongoza nenda tu ' straight ' acha kuzunguka zunguka kama Inzi wa Hotelini tafadhali!
HahahahahaUkitaka Kutongoza nenda tu ' straight ' acha kuzunguka zunguka kama Inzi wa Hotelini tafadhali!
Wewee ponjoro kitongoza umejulia wapi wakati huwa mnaolewa na mademu zenu wa bombayhahahahaha! Wanaume wa dar wanazunguka wee hadi anakuja mjanja na kunyanyuka nae mazima
Haha hahaaa ""Ukitaka Kutongoza nenda tu ' straight ' acha kuzunguka zunguka kama Inzi wa Hotelini tafadhali!
Huyu Sasa ndo kawa celebrate
Yan mtoto wa ng'ombe n ng'ombe tuUlitaka nimtaje Shangazi yako aliyeko Kijijini Kwenu Mbwinde na Msanga Mvumbu ndiyo uridhike na labda ufurahi?
Yan mtoto wa ng'ombe n ng'ombe tu
CHEERS!!!!!!Gentamycine hahaaaaa
Well,nitajibu kwa kifupi tu ya kwamba nilikuwa nje ya JF kwa masuala yangu binafsi ambayo sihitaji kuyatolea maelezo.
Kweli niliwakosea na kuwasononesha wanaonipenda humu na kiukweli nilitafutwa sana hadi nikajiona mwenye hatia. Sikuwahi kujua kama Nifah ni ID kubwa kiasi gani hadi nilipoacha kuitumia JF kwa muda!
Na baada ya kugundua hilo basi kupotea kwangu humu hakutojirudia tena...
Niseme nini tena? Nashukuru kwa upendo huu na namshukuru Mungu nimerejea tena kuungana nanyi wapendwa wangu.
Cheers
hahahahahaMa supastaa wa jf katika ubora wao.
HahahahaahahahUkitaka Kutongoza nenda tu ' straight ' acha kuzunguka zunguka kama Inzi wa Hotelini tafadhali!
Anatumia jina gani mkuu? Walau na Mimi nikachungulieNgoja niende insta yake nichungulie nina miezi sijamcheki na yake..
Ila mengine hapo uliyouliza mie napita.. aje ajivu yeye maana sikuyaona then..