Nifah nimekuona uko ' online ' upesi sana tunakuomba majibu yako ya Kutukuka juu ya haya maswali

Nifah nimekuona uko ' online ' upesi sana tunakuomba majibu yako ya Kutukuka juu ya haya maswali

Stori/thread inamuhusu Nifah sasa watu wanaleta mambo ya forex inahusu?!

Kwenye kila Kijiji Wachawi / Wanga huwa hawakosekani Mkuu. Halafu ukiona Watu wanaacha Kujadili mada iliyopo mezani na wanahamisha ' goal post ' jua hawana tu Umasikini wa Kipato bali pia wana Umasikini wa Akili ambao Kwangu Mimi nadhani ndiyo mbaya na hatari zaidi.

Kuna ' Mijitu ' inakera na kuudhi sana Mkuu.

Cc: Nifah
 
Gentamycine hahaaaaa

Well,nitajibu kwa kifupi tu ya kwamba nilikuwa nje ya JF kwa masuala yangu binafsi ambayo sihitaji kuyatolea maelezo.

Kweli niliwakosea na kuwasononesha wanaonipenda humu na kiukweli nilitafutwa sana hadi nikajiona mwenye hatia. Sikuwahi kujua kama Nifah ni ID kubwa kiasi gani hadi nilipoacha kuitumia JF kwa muda!
Na baada ya kugundua hilo basi kupotea kwangu humu hakutojirudia tena...

Niseme nini tena? Nashukuru kwa upendo huu na namshukuru Mungu nimerejea tena kuungana nanyi wapendwa wangu.
Cheers
CHEERS!!!!!!
 
Back
Top Bottom