Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Nimeenda kufungua banda la kuku nmerudi uzi unatembea hivi....duuuuh Nifah kweli kiboko

Yani vile ulikuwa unaleta habari za ma celeb na ubuyu pambeee bs huu uzi lazma wajuba wafunguke sana ya mioyoni mwao...!!

Leo utakula sana vichambo kutoka kwa vibungo na feminist yani wewe na dada ASHA_DII wa jamii ya twitter mnamaliza mwka mkiwa

Kwenye flow inayofanana

Sent from Hisense Smart Tv
 
Hahahahaha!. Nimecheka sana Mkuu.
 

Asha Dii amefanyaje?
 
Wote wajuaji, the bold mjuaji na wewe mjuaji.
Ilikua ni suala la muda tu.
Ahahahaha....wote wanakikuta majasusi!? 😂😂😂.
Ila she is strong kwakwel. Kwakwel na declare interest leo kwamba Nifah Ume qualify kuwa mleta ubuyu mwenye quality unbiased standard..unoko wa watu unatuletea na wakwako umetuwekea, tuseme nini tena?
 
😂🤣🤣 wewe unaogopa kumtaja Binti unayemzimia😂
 
Break up: mwezi August.

Press release: kuelekea sikukuu ya mwaka mpya (January) 😄

Mleta mada hebu subiri kwanza January iishe afu ndipo utukumbushe hii 'public notice' yako. Kwasasa tunaipuuza kwanza. 😎

-Kaveli-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…