Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Ndio maana sipendi mapenzi nachukia sana ni mambo magumu ya ya kufedhehesha kuwekeza fyraha kwa mtu hapana nimeachana na mapenzi nikiwa na 19yrs na hata milele Mungu ajalie hili nidumu kwa muda mrefu

Nifah achana nae sisi tutakupa kampani jukwaani
 
Enjoy Nifah


View: https://youtu.be/yVlUVsMUxPk?si=f2eXhZWTI4v_iJuI
 
Wewe Mswahili, na kukijua kwako kote kiswahili umeshindwa kupata busara ya kutokujua ya kesho?

Never say never, siwezi kujifunga kwamba sitoweka tena mahusiano yangu wazi nikaja umbuka ikiwa tofauti.

Ila, nitazingatia hatua katika mahusiano kabla ya kuweka wazi tena.
Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…