Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijekulogwa uka...mkuu😂😂😂Huu uzi umefikaje page ya 26 ghafla hivi?
😂😂😂Tena tukikuuliza kuhusu shemeji mkane mara TatuNdicho nitakachokifanya sasa dear, kama sio uchumba au ndoa hakuna kuwatambulisha shemeji mpya 🤣🤣🤣
safi binti yangu..chukulia kawaida songa mbele vipi ulibahatika ujauzito pengineHata kidogo, nimejifunza mwishoni ila nimejifunza.
Tutangaze uchumba au ndoa na sio mahusiano.
Nuzulati oooh unajua kurusha mawe ninakuogopa sana😂Nyeusi kama nyeusi asitumie nguvu nyingi iwe nyeupe 😁😁
Ndoa ni baraka ni jambo jema!Hata kidogo, nimejifunza mwishoni ila nimejifunza.
Tutangaze uchumba au ndoa na sio mahusiano.
Huna adabu ujue😂[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ndiyo na mimi nimejiuliza...
Attention Seeker...
Anazingua uzi wa watu wanataka kuleta story za kiwaki😁😁😁Nuzulati oooh unajua kurusha mawe ninakuogopa sana😂
Sawa sawa jirani,ikawe kheriSawa,unajua kutongoza pia inaendana na aina ya mwanamke mwenyewe japokuwa maneno hayabadikili lkn...muda ni mwalimu mzuri sana
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nyeusi kama nyeusi asitumie nguvu nyingi iwe nyeupe [emoji16][emoji16]
Enjoy NifahView attachment 2858656
Mapenzi kama yalivyo mambo mengine yana mwanzo na mwisho pia. Ni wachache waliobarikiwa na wenye bahati katika mapenzi huishia pamoja kwa kudumu milele hadi kifo kuwatenganisha, Huku wengi wakiishia njiani na hakuna ubaya katika hilo. Ndio maisha na mapenzi…. Ni safari isiyotabirika.
Miaka kadhaa iliyopita nilipata kuingia katika mapenzi yaliyofahamika na wengi hapa jamvini.
Hivyo basi, kwa kuwa mapenzi yale hayapo tena, imeniwia vyema kurudi tena hapa kuweka hilo wazi.
Tulikuwa na malengo ya kufika mbali, lakini kutokana na kutofautiana katika mambo mengi tulishindwa hata kufikia hatua za kuyarasimisha mahusiano yetu kuwa halali.
Tulitengana rasmi mwezi August mwaka huu 2023, na kutokana na hilo pengine huenda yakawa ndio mahusiano yangu ya mwisho kuyaweka wazi.
Mapenzi ya wazi hapa yamenipa wakati mgumu kujibu mamia ya wanachama waliokuwa wakihoji endapo bado tupo pamoja, na ndio sababu kuu naweka uzi huu kuwafahamisha wote kwa pamoja, hatupo tena katika mahusiano.
Tumeachana kwa amani, na kwa dhati kabisa namtakia kheri katika maisha mapya bila ya uwepo wangu kwa aliyekuwa mwenzangu.
Nifah
Sijakufahamu kumbe wewe ni mwamba usiyetikisika😂😂Anazingua uzi wa watu wanataka kuleta story za kiwaki😁😁😁
Ndiwooo ndiwooooo!Pole sana, hayanaga muongozo...
Bhana....Huna adabu ujue[emoji23]
Wewe Mswahili, na kukijua kwako kote kiswahili umeshindwa kupata busara ya kutokujua ya kesho?"pengine huenda" ni maneno ya mwanadamu asiye na uhakika na anachokisimamia.
Ningependa nafsi yako iongozwe maneno "rasmi ndio mahusiano yangu ya mwisho kuyaweka wazi mtandaoni".
Kinyume na hapo Netizens hawatoacha kukuandama juu ya maisha yako kama ulivyowapa nafasi huko nyuma mpaka wengine tukafahamu yasio na ulazima kuyafahamu juu yako/ yenu.
ni ushauri tu wa mlevi kutoka Kizimkazi.