Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Mimi Raia mwema napambana sana jamaa Maghayo aache bange yeye pamoja na genge lake kwani madhara yake ni makubwa kwa members humu.

Cheki mfano hapo chini Ghayo's gang wakiingia Jf baada ya kushambulia vipisi vya bange , Bora hata dronedrake Bakari Nondo yake haikeri members humu.View attachment 2858733
🤣🤣🤣🤣Jamani upo
 
Aiseee mimi binafsi nimehuzunika sana kwa sabb ukiona wawili waliopendana wametengana tambua kuna vitu havikuwa sawa.

Inaumiza kwa kweli ila Pole sana dada,uwezi kuwa mkubwa kama ujawai kupitia maumivu ya mahusiano.

Mungu atujaalie mwisho Mwema.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ameen Yaraby 🙏🏽🙏🏽
 
Yani mkiachana maswali ni mengi maneno pia mengi kiasi hata mkisalimiana watu lazima watengeneze story Haina afya ukiwa na mahusiano mengine pia
Bora kuficha had mfikie uchumba au ndoa
Ndicho nitakachokifanya sasa dear, kama sio uchumba au ndoa hakuna kuwatambulisha shemeji mpya 🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom