Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Mdogo mdogo uta kuingia kwenye damu 😀😂Hua napita kimyakimya, sijui nimepatwa na nini hadi nimeropoka🤒🤒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdogo mdogo uta kuingia kwenye damu 😀😂Hua napita kimyakimya, sijui nimepatwa na nini hadi nimeropoka🤒🤒
Sasa kwenye uzi huu smart kaingiaje si anataka kuleta mada juu ya mada ili uzi wa mwenzie upewe ban🤨Hahaha kila uziii
🤣🤣🤣🤣Jamani upoMimi Raia mwema napambana sana jamaa Maghayo aache bange yeye pamoja na genge lake kwani madhara yake ni makubwa kwa members humu.
Cheki mfano hapo chini Ghayo's gang wakiingia Jf baada ya kushambulia vipisi vya bange , Bora hata dronedrake Bakari Nondo yake haikeri members humu.View attachment 2858733
Topic ya watu hapa inaendea kubadilika, uswahili tu.Tutajuaje kinachoendelea sasa jamani khaa😂🤭
😁😁😁Basi muache bhana, usije pigwa ban za ajabu🤒
Vipi unanitaka ?Fungua PM Jay basi
Nimecheka sana 🤣🤣🤣Kuna Oligarch gani mwenye weledi uliotukuka aliyeingilia mapenzi yenu? Inaonekana huyo somo ni jasusi bobevu kwenye hizo mambo za kuharibu mahusiano
Haha naona umeiogopa kama ukomaKabisa mkuu, kikubwa na kuongeza umakini kwenye uandishi wako tu
Kwakweli.. Isije tukaona not open for futher replies😃😃Topic ya watu hapa inaendea kubadilika, uswahili tu.
Mwaya Nifah tusamehe 😂😂 tuendelee na uzi. Looh!
Ndo uanaume huoo!Akitomba uache kuchambana uwe fair [emoji23][emoji23]
Safi Toto zuri 💓💓, that's why I love you more🤒
Ameen Yaraby 🙏🏽🙏🏽Aiseee mimi binafsi nimehuzunika sana kwa sabb ukiona wawili waliopendana wametengana tambua kuna vitu havikuwa sawa.
Inaumiza kwa kweli ila Pole sana dada,uwezi kuwa mkubwa kama ujawai kupitia maumivu ya mahusiano.
Mungu atujaalie mwisho Mwema.
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂Kwenye moja na mbiliEmu sema wewe mrembo.. kila kona unafosi kupita na vitu vya enzi ya Nyerere kweli?
Kwamba tofauti na hayo we huna content nyingine?
Ahaa hapana bhana 🚮
Haipendezi mtu kuwa mzembe hivyo.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Dokta tulia bas tuparuane leo mpaka mwaka uanze
Wengine mada haziwahusu wanajifanya victims[emoji23]
Bladfakeni moo.[emoji38]
Lee min ho adriz na Lee sung ji Mvaa Kobazi ana kuja😂😀Mapenzi nyoko sana. Anyway karibu kwenye chama cha usingo mimi ndio mwenyekiti
Awapiii,, ni mwanzo na mwisho leo my friend sirudii tenaMdogo mdogo uta kuingia kwenye damu 😀😂
Dah ma blad is boiling 😂😀😀🤒😂😂😂
Dokta tulia bas tuparuane leo mpaka mwaka uanze
Wengine mada haziwahusu wanajifanya victims😂
Bladfakeni moo.😆
Yaaaani....Pyuuuuu!!!Tufanyaje sasa na ndio love on eyaaa[emoji38]
Baada ya Eva na Adam wapili wao[emoji706]
Ndicho nitakachokifanya sasa dear, kama sio uchumba au ndoa hakuna kuwatambulisha shemeji mpya 🤣🤣🤣Yani mkiachana maswali ni mengi maneno pia mengi kiasi hata mkisalimiana watu lazima watengeneze story Haina afya ukiwa na mahusiano mengine pia
Bora kuficha had mfikie uchumba au ndoa