Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Mtihani upo kwa kuendelea kuwasiliana na baba watoto, na kama hukuweza kufill ile gap( na hii haiwezekani maana Mungu amemuumba Kila mwanaume tofauti), anaweza pasha kiporo kwake.
Siko hivyo, nikiachana na mtu tumeachana.

Sijawahi na sitokaa kupasha kiporo na ex, najiheshimu na kumheshimu ninayekuwa naye katika mahusiano.
 
Sio lazima labda ifike hatua muhimu zaidi kama ndoa.
Ila mara nyingi, mwanamke anayekupenda anaweza weka wazi ila indirectly ili watu wafahamu kuwa she's taken ila anaweza mficha mtu mpaka wakati sahihi.
Una busara mno, mno!

Yes, niko hivyo napenda kuweka mapenzi wazi kwa kuwa mimi ni muwazi sina mambo mengi katika mahusiano.

Sasa hivi nitamficha, hadi anichumbie au kunioa ndipo nitaweka wazi.
 
Back
Top Bottom