Nifah: Rasmi, Mimi & The Bold tumeachana

Ooh no ilikua couple yangu bora ya kila mwaka, why jamani? Mapungufu yapo hakuna mkamilifu, mmeshindwa kabisa kupata suluhu🤔
I’m sorry darling.

Wakati mwingine ni vyema kuachia kuliko kuendelea kushikilia usipoona njia.
Ukitoka katika njia moja utaona nyingine, na kama una Mungu atakuongoza kwa iliyo bora zaidi.
 
Lee min ho adriz na Lee sung ji Mvaa Kobazi ana kuja😂😀
Mimi kama Muhuyul wa Six flying dragon jamaa hajawahi kufocous na mademu zaidi ya kazi yake ya Ugeneral na akafanikiwa haswa , mwengine ni General Ohyi(Oi) wa kwenye Jumong tokea ateswe na mapenzi kizembe jamaa hakutamani kupenda tena zaidi ya kufocous na goals zake na akawa mtu mbadi sana na hawakula nyetoh kama dronedrake ..

Lee Min ho shombe shombe analeta sana mapenzi kwenye kazi , hayo mambo nimepiga chuma tatu Kali kama miongoni mwa adui wangu mkuu ,ukitaka uone nimepigaje rejea katika Uzi wetu wa Wakorea Ile video ya jamaa wa Joseon Gunman anavyopiga chuma kwa hasira utapata picha halisi..
 
😅😅😅
Haya mambo ya kupendana hadi unachanganyikiwa halafu mnakuja kuachana mi staki bana
 
Aiseee nime cheka kibwege, ila adriz 😀🤣🤣
Maghayo akiendelea na pigo zake za kibarbarian ataishia kujiunga Chama la dronedrake kunyetuka daily maana anategemea anavyorudi bongo aingie chimbo akadake Wahadzabe vijijini maana kule wengi washamba sasa bahati mbaya Serikali ya awamu ya 5 imeboresha miundo mbinu kule wanapata kujanjaruka ,sasa miaka ijayo Mr Maghayo asipoacha pigo zake atakuwa hna njia isipokuwa kumuone dronedrake ampe mbinu za kujipoza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…